Corona yatua Rwanda, muathirika ana asili ya Kihindi

Corona yatua Rwanda, muathirika ana asili ya Kihindi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Coronavirus: Rwanda yatangaza kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)

Mhudumu wa afya
Haki miliki ya pichaREUTERS
Rwanda imethitisha kisa chake cha kwanza cha virusi vya Corona (COVID-19)
Raia wa India aliyewasili nchini humo kutoka Mumbai, India, Machi 8 2020, amethibitishwa kuwa na virusi vy corona.
 
Live or die win or lose also Tz we HV corona but is very secret
 
Tatizo ni watu wanaosafiri ndio wanatembea na maradhi
Kesi moja moja lazima zitakuwepo tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kuna mgonjwa amefia Hoapitali ya Mawenzi Moshi lakini kama kawaida yetu yanataka kuishia chini ya carpet

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema raia sita wa Denmark na Norway walioingia nchini jana kutokea Kenya na kupelekwa hospitali ya rufaa ya Kilimanjaro (Mawenzi) kuchukuliwa sampuli zilizopimwa katika maabara jijini Dar hawana maambukizi ya corona na wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao #MwananchiUpdates
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Atulinde Tuingiapo & Tutakapo!!!

Hali Kwa Sasa Hivi Ni Tete Sana Kama Ule Mji Wa Homes, Faruja
 
Kuna mgonjwa amefia Hoapitali ya Mawenzi Moshi lakini kama kawaida yetu yanataka kuishia chini ya carpet
Aliyeturoga Kafa
Wenzetu Wanasema Sisi Kimya!!!!
Biblia Inasema
Mkisema Hatuna Dhambi Mwajidanganya Wenyewe Wala Kweli Haipo Mioyoni Mwenu.
 
Ukiona mpaka mkulu anaanza kutoa tips chache za kujilinda na corona virus basi ujue mzigo ushaingia,sema ni kiinterijensia zaidi,
domodomo la nini,hamna corona hapa,tangaza upotezwe au ufungiwe,sisi ni kondoo wa bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz ipo sema serikali yetu kama kawa bado haijaona ni ishu ya kutangazwa kwa Sasa. Sisi tutakuwa wa mwisho kutangazwa. Ndio Mana tunasisitizwa tunawe maji yanayotiririka
Nani kafa?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kwa jinsi awamu ya 5 ilivyoweza kutuletea mambo mengi mazuri, wananchi wanashangaa kwa nini hili halijakamilika ili sifa na utukufu zimuendee mheshimiwa sana
Kuna watu wanalazimisha Corona iwepo Tz. Yaani mkisikia ipo ndio roho zenu zitatulia. Haya basi tukubaliane IPO tujihadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz ipo sema serikali yetu kama kawa bado haijaona ni ishu ya kutangazwa kwa Sasa. Sisi tutakuwa wa mwisho kutangazwa. Ndio Mana tunasisitizwa tunawe maji yanayotiririka
hapa ndo napoishaangaa tanzania yetu, wanatoa taadhari nying na jinsi ya kujikinga na corona lakin awasemi kama ngoma imeshatua Tz
 
Kuna watu wanalazimisha Corona iwepo Tz. Yaani mkisikia ipo ndio roho zenu zitatulia. Haya basi tukubaliane IPO tujihadhari.
IPO jamaa angu, nchi yako uijui kwenye uozo wenyewe wanapulizia marashi kuua soo
 
Kwa jinsi awamu ya 5 ilivyoweza kutuletea mambo mengi mazuri, wananchi wanashangaa kwa nini hili halijakamilika ili sifa na utukufu zimuendee mheshimiwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana unaiomba sirikale ya awaamu ya faivu ituletee korona?

Itapendeza ili hata wale tibisii wani wakiwa kwenye mpango wao wa tunatekeleza, wasifu awamu kwa kutuletea kovid-kumi na tisa.
 
Back
Top Bottom