johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje.
Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani.
Source Star tv!
Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani.
Source Star tv!