Corona: Zanzibar yasitisha safari zote za ndege kutoka Italy

Corona: Zanzibar yasitisha safari zote za ndege kutoka Italy

Well done.
Nawashauri pia kuzuia zinazotoka bara na boti zote kwa sababu, Bara bado inaruhusu wachina na waitaliano
 
Huu ubaguzi unachochewa na nini? Virusi kisima chake kiko China sasa inakuwaje uwazuie raia wa Italy huku ukiwaruhusu wachina kuingia Zanzibar? Acha ubaguzi msitufanye wtz wajinga.

Tupe vigezo mlivyotumia kuwazuia Italy na kuwaruhusu wachina.
Wamesema wanazuwia safari za ndege kutoka Italy na sio Wataliano. Hakuna safari ya ndege kutoka CN-ZNZ lakini zipo IT-ZNZ. Kama zingekuwepoza CN-ZNZ basi zingepigwa ban pia. Kwa hiyo Wataliano hawataweza kuingia directly kutoka Italy.. Hiyo ndiyo maana yake.
 
Back
Top Bottom