johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee Mgaya ana maoni gani?Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje.
Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya corona iliyoko huko duniani.
Source Star tv!
Nilikuona pale morocco unasubiri biriani ya Ijumaa bwashee!
Hahahaaaaaa........ Mzee Mgaya alikuwa na Dr Bashiru pale ITV!
Kwa sele bonge Ahh, hpo wanakaa wauza suraNilikuona pale morocco unasubiri biriani ya Ijumaa bwashee!
Dah polee sana Muitaliano,tatizo takwimu zinaonyesha hadi sasa nyinyi ndio mnaoongoza kwa kuexport corona kuja Afrika.Huu ubaguzi unachochewa na nini? Virusi kisima chake kiko China sasa inakuwaje uwazuie raia wa Italy huku ukiwaruhusu wachina kuingia Zanzibar? Acha ubaguzi msitufanye wtz wajinga.
Tupe vigezo mlivyotumia kuwazuia Italy na kuwaruhusu wachina.
Hahahaaaaaa.........!Kwa sele bonge Ahh, hpo wanakaa wauza sura
Ss wazee wa magumashi hpo hatukaiii
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe na tabia ya kuielewa taarifa kabla ya kukurupukia keyboards zenu.Huu ubaguzi unachochewa na nini? Virusi kisima chake kiko China sasa inakuwaje uwazuie raia wa Italy huku ukiwaruhusu wachina kuingia Zanzibar? Acha ubaguzi msitufanye wtz wajinga.
Tupe vigezo mlivyotumia kuwazuia Italy na kuwaruhusu wachina.
Wataliano wamewekeza Zanzibar kuliko wachina.Huu ubaguzi unachochewa na nini? Virusi kisima chake kiko China sasa inakuwaje uwazuie raia wa Italy huku ukiwaruhusu wachina kuingia Zanzibar? Acha ubaguzi msitufanye wtz wajinga.
Tupe vigezo mlivyotumia kuwazuia Italy na kuwaruhusu wachina.
Nyamaza kama huyajui !Huu ubaguzi unachochewa na nini? Virusi kisima chake kiko China sasa inakuwaje uwazuie raia wa Italy huku ukiwaruhusu wachina kuingia Zanzibar? Acha ubaguzi msitufanye wtz wajinga.
Tupe vigezo mlivyotumia kuwazuia Italy na kuwaruhusu wachina.