Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
TuwaombeeItaly na Spain wako mbele kwa ubaguzi wa rangi.ata wachezaji mpira weusi kule wana wakati mgumu sana ,Mario Balotelli anapata shida sana viwanjani.
Ubuguzi wa rangi utaisha kabisa baada ya corona kuisha .somo walilopata litakua kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
nilisema hapa bado spain na ufaransa nao watapukutika tu its matter of time.