#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Sikubaliani na kuvunja watu mikono ila askari wa misri waliua sana hadi wakachoka hawa wa marekani ndio balaa kabisa akisema on your knees na umesimama anakwambia kabisa am not going to repeat utasikia chuma kinalia ni muhim tuwe na taarifa sahihi
Askari wa Misri walioua ni polisi siyo wanajeshi.
 
Tafiti zisizo rasmi (Computer Modeling) zinaonyesha kuwa Coronavirus haziambikizwi kwa kasi kwenye maeneo ya Poles na Equator regions kwa sababu ya baridi kali na joto kubwa
Wanadai hawa virusi hawakai muda mrefu kwenye joto na unyevunyevu mkubwa. Pia hawawezi kukaa muda mrefu kwenye sehemu za baridi kali kama za kule North na South Poles
___________________________________________________________________________________
A study uploaded to medical pre-print server MedRxiv Monday plots recorded cases against climate conditions to suggest that there is indeed a significant correlation between outbreaks and the weather. In extreme cold and very hot and wet conditions the virus is “largely absent,” the researchers from Spain, Portugal and Finland wrote, meaning that people in tropical and polar climates are unlikely to see local transmission of cases.

Arid regions will see a higher rate of infections but the worst-hit areas will be temperate countries and high-altitude areas closer to the equator. The period between June and September should see a slowing rate of infections in much of Europe and North America, they wrote, although areas closer to the poles in Scandinavia, Russia and Canada may see worsening conditions as the climate warms enough to support local infections.

Another pre-print study by four Beijing-based researchers uploaded to the arXiv server last week comes to a similar conclusion after analyzing the infection rates in 100 Chinese cities. That rate, known as the R0, is a key determinant of an infection’s propensity to spread. For Covid-19 it’s currently estimated to be around 2.2, but moving it below 1 should, if sustained, be enough to turn the current out-of-control epidemic into an outbreak that goes extinct on its own.

Increasing the temperature by one degree centigrade reduces the R0 by 0.0383 and increasing humidity by 1% pushes it down by 0.0224, the researchers found. That should be particularly significant in places with hot, wet summers, they wrote: In the event the Tokyo Olympics goes ahead, the R0 in the city would likely be at extinction levels below 1, given normal summer conditions.

The results shouldn’t be too surprising. The mechanism that causes influenza and colds to spread faster in the winter isn’t perfectly understood. It appears to relate to the way virus particles can stay active on surfaces such as elevator buttons and door handles for longer in mild weather; the way people show greater susceptibility to throat infections when breathing cold, dry air; and to our tendency to congregate in warm, close conditions where diseases spread easily during winter weather. Still, it would be remarkable if Covid-19 really behaved in a manner different from every other coronavirus, or indeed almost every other common respiratory virus.

Don’t start planning any summer holidays on the expectation this disease will vanish with the sun. For one thing, both studies are still just computer models, and neither has been through peer review. On top of that, even a reduced rate of infection will only slow, rather than halt the spread of this pandemic. In most places, it won’t even be sufficient to push the R0 below 1, in the absence of other measures such as social distancing.

Bloomberg - Are you a robot?
 
Elimu ya kunawa mikono ipo vizuri sana, unafika eneo la huduma kabla kutakasa mikoni unahifadhi simu zako mfukoni ama kwa pochi, unatakasa mikono vyema, hatua chache kabla hata huduma unashika tena simu zako!

Ushauri plastic virusi corona huishi siku 3-4! Hivyo tupewe mbinu rahisi na salama kutakasa mifuko na vibebeo simu zetu. Kwa mfumo wetu wa maisha haiwezi kupita nusu saa hujagusa simu uwapo maeneo ya huduma.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna kifaa kichafu kama simu jaman afadhari ya nguo za ndani. mtu ametoka kugegeda mara kashika simu. Big toilet sim imeshikwa!
 
Tumepewa nafuu kuhusu Corona na tusitishane, Corona haijaua hivyo tusiwe na shaka! Hakuna hatua madhubuti tunazochukua kwani wengi wananawa mikono kiutaniutani na nilimuona Askofu mmoja siku ya Jumapili kanisani pake alinawa mikono chini ya sekunde kumi!

Baa ziko wazi na hakuna uwezekano wa kunawa kila uhudumiwapo chupa yako, machine za kamari (slot) ziko mitaani zimezungukwa na makundi ya vijana wasiojua nini kinaendelea nchini kwani wako baa na baa hatusikilizi taarifa za habari, huko ni muziki na mpira tu.

Tumegoma kufunga mipaka ila shukurani jirani zetu mmetufungia kwa lazima. Misongamano iliyopo mitaani ya wafanyabiashara inaondoa sababu ya kuosha mikono kwani lazima utagusana na mtu mwingine utembeapo.

Makanisa na misikiti waumini husali kwa kubanana wakikandamizana mabega, masinia ya pilau za harusi yanatembea kama kawa! Heko viongozi wetu kwa kututoa hofu tuliyoanzia, sasa tuko salama kuliko mwanzo.
 
China yapumua: Coronavirus cases 47 tu na vifo 4 tu Katika masaa 24 hadi jana siku.

Italia inaangamia: Coronavirus cases 5,249 na vifo 743 Katika masaa 24 hadi jana siku.

Marekani kumechafuka: Coronavirus cases 11,074 na vifo 222 Katika masaa 24 hadi jana siku.

Spain mambo sio shwari: Coronavirus cases 6,922 na vifo 680 Katika masaa 24 hadi jana siku.

Ufaransa nako hakuna amani: Coronavirus cases 2,448 na vifo 240 Katika masaa 24 hadi jana siku.

Iran hali sio nzuri: Coronavirus cases 1,762 na vifo 122 Katika masaa 24 hadi jana siku
 
Halafu wewe ? umesoma kweli yaliyo andikwa? km umesoma iko kitu kwa kichwa yako!!!!
😆😆😆 Mkuu huu ulikuwa uzi unaojitegemea , sasa mtukufu moderator akau merge kwingine, wala si kwamba nilisoma huku halafu nikachangia, la hasha! ndio maana mara zote tunaomba sana hawa jf wasiunganishe kila nyuzi, wangeweza kufuta tu ili isilete maana mbaya
 
😆😆😆 Mkuu huu ulikuwa uzi unaojitegemea , sasa mtukufu moderator akau merge kwingine , wala si kwamba nilisoma huku halafu nikachangia, la hasha ! ndio maana mara zote tunaomba sana hawa jf wasiunganishe kila nyuzi, wangeweza kufuta tu ili isilete maana mbaya
Oops!! sorry Mkuu nimekuelewa kabisaaa!
 
Najitupa moja kwa moja kwenye mada:-ugonjwa wa COVID-19 kuudhibiti. Nirahisi mno kama tutakuwa na nidhamu ya kufuata masharti yote yatolewayo na waatalamu wetu wa afya sitaki kuwachosha kuyataja masharti hayo manake yote yamewekwa wazi hivyo cha msingi hapa ni nidhamu tu ndiyo itakayotuokoa kwa kuzingatia ile MIIKO YOTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuosha mikono.
Kwa siku naosha mikono kwa maji na saburi karibu au zaidi ya mara 30.

Kushika vitasa
Najitahidi kushika vitasa vya milango kwa kutumia tissue paper.

Matumizi ya 70% ethanol
Nyumbani nimeweka ethanol sehemu mbili, chumbani na chooni. Nikimaliza osha mikono, naipaka ethanol. Nikiwa chumbani najipaka ethanol mikononi ninapohisi hitajio.

Simu kwa siku naipaka ethanol takriban mara 5 au zaidi kutokana na mahitajio; nikihisi nimeigusa baada ya kugusa sehemu ambayo nina mashaka nayo. Au nimeiweka sehemu ambayo nimepata shaka nayo.

Nikienda kwenye usafiri wa public, ninakuwa na kijikopo kidogo cha ethanol mfukoni kwa ajili ya kujipaka mikononi nitokapo garini.

Kwenye kitasa cha chumba changu napaka ethanol mara kadhaa kwa siku.

Ofisini kwangu; nimeficha ethanol kwa ajili ya kusafisha kideski changu kabla ya kuanza shughuli za kila siku.

Laptop nayo yachezea ethanol kama kawa ingawa si mara kwa mara.

Mizigo
Nikipata mzigo toka sehemu nauacha kwa siku tatu au zaidi, ili kama kuna virusi wafe.

Maombi
Kila siku namuomba mungu anivushe salama na hatari za viumbe wabaya wakiwemo coronavirus.

Pia huwa nawaombea ndugu zangu na waTZ wenzangu maana naona kabisa hatuwezi vuka janga hili ila kwa kumtegemea mungu pamoja na kuchukua sababu za kitaalamu za kujikinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom