Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Nimesema pia wagonjwa wa CORONA wanapewa dawa gani?Utampa mtu dawa kabla ya kumpima na kujua maradhi yake?
Umesoma kweli Uzi wewe au ulikimbilia kucomment ili uwe wa kwanza pasipo kusoma?Utampa mtu dawa kabla ya kumpima na kujua maradhi yake?
Mfano kukohoa, mafua na maumivu hupewa dawa zipi?Unampa dawa kutibu zile symptoms anazoonesha.
Mfn kukohoa, mafua, za maumivu n.k
ShukraniWanavodai hakuna dawa ya kirusi.Kinachofanyika kama una homa wanakutibia homa,Kama ni kifua wanatibu kifua na ku boost kinga yako ya mwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano kukohoa, mafua na maumivu hupewa dawa zipi?
Amekosea kuandika tu ila Uzi kama Uzi unaelewekakarantini hawakai wagonjwa,wagonjwa wote wapo hospitali kama vile mloganzila,amana nk ,wakitibiwa magonjwa yale yatakayojitokeza baada ya kuathirika kama vile kukohoa,mafua,homa,kupumua nk
Pengine wewe hujasoma, dalili si uthibitisho wa ugonjwa kusudiwa, lazima wapimweUmesoma kweli Uzi wewe au ulikimbilia kucomment ili uwe wa kwanza pasipo kusoma?
Na huko watapewa dawa zipi mafua, homa?karantini hawakai wagonjwa,wagonjwa wote wapo hospitali kama vile mloganzila,amana nk ,wakitibiwa magonjwa yale yatakayojitokeza baada ya kuathirika kama vile kukohoa,mafua,homa,kupumua nk
KimeumanaTuwaulize Wakenya
Poa tu !Duh.
Wewe bila shaka ni denti wa praimari. Kama ni mtu mzima ni aibu kwa taifa.
Ok.Poa tu !
Ila mimi nahitaji kufahamu
Soma vizuri post yanguNa huko watapewa dawa zipi mafua, homa?
ndio maana na mimi nikamfafanuliaAmekosea kuandika tu ila Uzi kama Uzi unaeleweka