#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
JE WALIOPO QUARANTINE WANAPEWA DAWA GANI ?..

Nimekua nikijiuliza wagonjwa na wenye dalili za ugonjwa wa CORONA wapo quarantine kwa muda mrefu sasa!
....
Sasa je wanatumia dawa gani huko?
.
Je kama hakuna dawa wanapewa kitu gani cha kuwafanya wawe huko?..

Kama kuna dawa wanapewa au chochote cha kupambana na ugonjwa huo (covid19) naomba kitajwe wazi basi....!

NB ; KUMBE WAGONJWA WANAPELEKWA HOSPITAL BAADA QUARANTINE...!
Screenshot_20200421-202714_Google.jpg
 
karantini hawakai wagonjwa,wagonjwa wote wapo hospitali kama vile mloganzila,amana nk ,wakitibiwa magonjwa yale yatakayojitokeza baada ya kuathirika kama vile kukohoa,mafua,homa,kupumua nk
 
Amekosea kuandika tu ila Uzi kama Uzi unaeleweka
 
karantini hawakai wagonjwa,wagonjwa wote wapo hospitali kama vile mloganzila,amana nk ,wakitibiwa magonjwa yale yatakayojitokeza baada ya kuathirika kama vile kukohoa,mafua,homa,kupumua nk
Na huko watapewa dawa zipi mafua, homa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom