Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Naomba niulize polepole MASK zitazuiaje huyo KIRUSI? Ana umbo kubwa kuliko hewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba niulize polepole MASK zitazuiaje huyo KIRUSI? Ana umbo kubwa kuliko hewa?
Sio kweli, WHO hawajasema kuwa kurona ni "airborn disease". Hivi kweli waelewa maana ya kiistilahi ya 'airbone disease'?
Ummy nae aende karantini Hawa waandishi hajakutana nao kweli?
Tunatishana sana ndugu zangu
Fanyeni kazi
Rais kasema kagonjwa haka kadogo sana na katishindwa kwa Jina la Yesu
Jina Yesu ni jina tuligopewa wananadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo.
Amen
Navyokumbuka WHO Hawa Hawa mwanzo walituambia virusi vya CORONA Ni vikubwa kwa umbo tofauti na virusi wengine hivyo hawana uwezo wa kukaa hewani labda urukiwe na droplets za muathirika akikohoa au kupiga chafya.
Wakaenda mbali zaidi wakasema anaweza kuishi kwenye objects mbalimbali Kama chuma kwa masaa 12.
Sasa naona leo Tena wamekuja na mpya kuwa hata angani anapepea kwa masaa nane
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maelekezo yaliyotolewa na WHO na wao pia wametoa maelekezo ya kuwa virusi hivyo vina uwezo wa kukaa hewaniWiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Hii mechi kwa TZ inachezwa na "washabiki" na siyo na "wachezaji" kinyume na nchi zingine. Hata aliyefeli biology ya form four anaijua corona kuliko Dakitari professor wa cambridge!Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Mbona condom mnavaa na zinatoshahizo mask tukivaaa dunia nzima zitatoshaa?
Ukristo upo ndani ya Mtu sio mahaliYesu atakuwa Tanzania tu? Vipi kuhusu Italy ambako ndio makao makuu ya ukiristo duniani, vipi Marekani, spain nk
Kuna haja ya wakiristo kujitathmini juu ya kauli hii.
nikiwa natoka kwangu kuelekea kwenye mizunguko yangu huwa navaa mask, cha ajabu wabongo huwa wananiangalia kwa jicho kali wakihisi kama najiendekeza au naringa.
yaani huku uswahili kwetu ukivaa kale kamask wabongo wanakuangalia kwa jicho la husda sana.
Rais na utaalamu wa ugonjwa wapi na wapi?Tunatishana sana ndugu zangu
Fanyeni kazi
Rais kasema kagonjwa haka kadogo sana na katishindwa kwa Jina la Yesu
Jina Yesu ni jina tuligopewa wananadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo.
Amen
Ukristo upo ndani ya Mtu sio mahali
Kwa sasa wenye Ukristo wa Kweli ndio wanaoonekana!!