#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Habari Wana jamiforums leo nimeona nitoe elim kidogo juu ya Corona nimeona watu wanavaa mask ili kujikinga na Corona huku tukisahau kitu kimoja hasa madaktar

Tukumbuke MASK inakinga eneo la mdomo na pua na sehemu ndogo ya uso lakin sehemu ya macho na kichwa hubaki wazi hata kichwan pia kitu ambacho naona bado hii ni hatar kwa virus kutuzuru hata tukivaa mask sababu tutavibeba sehemu nyingine ya juu ambayo itakua wazi na baada ya kuvua MASK tuta visafirisha Tena mpaka kwenye pua au mdomo kwa kushika uso zetu au pind tunapo kua tunaoga sababu asilimia kubwa ya watu hua tunaanza kuoga bila sabun na maji hutiririka mpaka sehemu za pua na mdomo na pale pumzi zinapo kua zinatuishia wakati maji yanatiririka kutoka juu kutokana na kubana pumzi ili maji yasiingie puan hua tunafunua mdomo na kuruhusu hewa itoke na hua inatokea baati mbaya muda mwingine maji yale hua tunayaingiza mdomon kitu ambacho ni hatar

Ningependa kushauri watu pind tu anapo kua ametoka nje na kurudi nyumbani ni vyema aakikishe anahudumia kichwa chote kwa kukisafisha na sabun Tena aakikishe hafungui mdomo Wala maji hayaingii puan ili kukinga maambukizi au maji kuto ingia puan huu ni mtihan mkubwa njia rais itabid apangunse uso wake kwa sanitizer pia akiwa anatoka nje awe anavaa kofia ya kumsaidia ku cover kichwa au anyoe kabisa ili iwe rahis kupaka sanitizer kabla ya kuoga bila ivyo Corona tutakua tunaipata kwenye mabafu yetu

Yote kwa yote ni nyema kutulia nyumbani tu Mana kwa jins Corona inataka tufanye ili tuishinde sio rais Kama tunavyo fikiria inamambo mengi Sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba serikali itumie hii njia na iwe lazima kila mtu kuvaa kwenye public areas, mfano. sokoni, ndani ya daladala, ofisini, kanisani, kwenye migahawa nk. Na siyo lazima kutumia zile 'medical masks, N95' tutumie za vitambaa ambazo serikali inaweza ku-approach makampuni ambayo yanaweza ku-design na kutengeza kwa wingi na hata kuwatumia mafundi cherehani, nina uhakika zitaweza kupatikana kwa wingi na kwa bei nafuu.

Hata ujerumani watu wameshauriwa watumie tu hizi za vitambaa. Tahadhari zinaweza kuchukuliwa namna ya kuivua hiyo barakoa na kuifua kwa ajili ya matumizi ya kesho yake.
 
Katika hili Serikali walishasema watu wanahimizwa kuvaa barakoa, Mbona zinashonwa nyingi mtaani
.
ila ni Sisi tuu wenyewe vichwa zege wala hatuna mda tunachojua sisi ni kunawa tuu na Sanitizer
 
Katika hili Serikali walishasema watu wanahimizwa kuvaa barakoa, Mbona zinashonwa nyingi mtaani
.
ila ni Sisi tuu wenyewe vichwa zege wala hatuna mda tunachojua sisi ni kunawa tuu na Sanitizer
Kwenye hili sensitization inatakiwa, hasa baada ya kuona cases zinaongezeka..
 
Katika hili Serikali walishasema watu wanahimizwa kuvaa barakoa, Mbona zinashonwa nyingi mtaani
.
ila ni Sisi tuu wenyewe vichwa zege wala hatuna mda tunachojua sisi ni kunawa tuu na Sanitizer
Kaugonjwa kadogo tu haka tusitishane
 
THE CORONAVIRUS FROM A DR SEBI PERSPECTIVE
WORLDWIDE DEATHS FROM JANUARY 1 TO MARCH 25 .2020.png




Dr Sebi never advocated the concept of viruses; the belief that there are opportunistic viruses out to get us, is a medical mindset rooted in the germ theory, which was popularized by Louis Pasteur (1822-1895). The germ theory is based on the premise that germs, bacteria and other pathogens are the cause of some diseases.
Louis Pasteur is purported to have said on his death bed; “The microbe is nothing. The terrain is everything.” Despite this, the theory has taken hold of medical thinking and has been presented in a way to ensure that it is believed, accepted and upheld by the wider public.

WHAT IS DR SEBI’S POSITION?
Dr Sebi’s position was very clear – that mucus is the cause of disease. When we consume acid-forming foods or foreign chemistry enters the body, this causes inflammation, which leads to the production of mucus. This can become excessive, covering cells and depriving them of oxygen and nutrients. Under the circumstances, an individual may die if the situation is not addressed by breaking up and expectorating mucus, and providing the body with deprived nutrients.
SO, HOW DOES THIS WORK IN REFERENCE TO THE CORONAVIRUS (NOW CLASSIFIED AS COVID-19)?
One of the key things to note about COVID-19 is that victims usually die from severe acute respiratory distress syndrome (SARDS). In short, they were unable to breathe and die through a lack of oxygen. This occurs because mucus fills the lungs depriving the body of oxygen.

Autopsy reports coming out of China shows that mucus solidifies and block airways and lungs. According to the leading professor from Tongji Medical team in Beijing, they found “a large amount of mucus in the lungs”. He further noted that,
“The secretion is very sticky. It attaches to the lung like paste.”
“The mucus was in the deep-seated airway. If we don’t give targeted treatment, it maybe counter-productive.”
“A normal lung touches like a sponge because it contains air. But an infected lung doesn’t touch like this.”
“Something else refilled the lung. You must know what the pathological change is and give targeted treatment.”
“Otherwise it will be useless like delivering oxygen through a blocked pathway.”

What is surprising is that the Chinese researchers were surprised by these results. However, Dr Sebi had been talking about this for many years; in fact, anyone who is familiar with Dr Sebi’s lectures would have been able to deduce this based on the cause of death.


WHO IS AFFECTED BY COVID-19?
COVID-19 according to the their reports is affecting from the very young to very old. For example, in England, there is a reported case of a newborn and mother testing positive. There are also cases of 103 year old woman and a 100 year old man who were affected and recovered. That being said the larger percentage of persons who have died are usually older individuals and those younger people with underlying health conditions.

According to reports about 80% of affected individuals recover and the majority of those who die usually have serious underlying health conditions; the most notable being cancer, cardiovascular conditions, diabetes and respiratory ailments.

HOW DOES COVID-19 CAUSE THIS TO HAPPEN?
There are two main positions as to origin of COVID-19, that is being surfacing:

  • It is a man-made ‘virus’ or bio weapon: it is said to enter the body via the mucus member – through the mouth, nose or eyes. It is said to spread from person to person via droplets – such as cough drops, from talking as people sometimes spit while talking or singing. It is said to remain ‘active’ on surfaces and clothing for up to several days. The African Biomineral Balance does NOT support this view as viruses DO NOT exist and cannot jump from one person to another.
  • It is as a result of 5G technology: there are some serious concerns about 5G technology. In an appeal to the European Union, over 180 scientists and doctors from 36 countries warn about the dangers of 5G, which they note will lead to a massive increase in involuntary exposure to electromagnetic radiation. They have urged the EU to follow Resolution 1815 of the Council of Europe, requesting that an independent task force reassess the health effects of 5G.
These will be further explored in another post.

WHAT TO DO?
How can Dr Sebi’s methodology help in regards to COVID-19?

Dr Sebi often spoke about the ‘blood’ and the ‘starch’ and how a diet of eating meat and starches can lead to ill-health. Not only does it lead to ill-health but it also reduces the possibility of withstanding, coping with or recovering when one faces health challenges, regardless of what it is to always ensure you live a healthier life:

  • Go on a 100% alkaline diet, primarily focusing on fruits, warm liquids such as herbal teas and water.
  • If you are in a warm climate, get a bit of sun everyday.
  • Get fresh air.
A BIT ABOUT COVID-19
Despite the hysteria surrounding COVID-19, it is by scope exaggerated. To put things into perspective, below is a list of worldwide fatalities as outlined by GreenMedinfo where they showed how COVID-19 compared to other death figures since the start of the year 2020:


WORLDWIDE DEATHS FROM JANUARY 1 TO MARCH 25 .2020.png


You will notice that the ‘socalled’ coronavirus death rate is much less in comparison to many of the other challenges we currently face worldwide.

HEALTH SYSTEM
There have also been reported cases of racism or mistreated afforded to African people in America and Europe, so it imperative that we all begin to do more to improve our health and in general do not depend on the systems in the west to provide healthcare – they are simply incapable of doing this.

THE WAY FORWARD
  • It is important that we realise that the quality of our health is dependent largely on what we put in our mouths. This is why Dr Sebi spoke against the “blood and starch”; meaning animal products such as meats, eggs, cheese etc and starchy foods; and instead recommended an alkaline diet.
  • Having said this; as it relates to possible radiation from 5G technology, then we must include iodine in the diet, and this can be acquire from sea weeds such as seamoss and bladderwrack.
  • Stay away from cold liquids, especially if you find that mucus is building up in the lungs. Instead use herbal teas to breakup and expectorate the mucus.
  • Some of Dr Sebi’s approved herbs to help are ginger, sage, elder berries and flowers (especially where there is a fever), rosemary and eucalyptus, nettle, sea moss, bladderwrack and iron-rich herbs. Dr Sebi’s iron tonics are also important as they help to distribute oxygen throughout the body, and remove toxins. Dr Sebi also created a nutritional guide which consists of alkaline foods the body needs.
  • Drink warm water in the mornings and throughout the day as much as possible; warm teas and alkaline soups can also be added.
  • Eat more fresh fruit and vegetables, limes, sour oranges and berries, high water content fruits and leafy greens like amaranth.
  • So you are best advised to introduce an alkaline diet; this will begin to help the body cleanse and also strengthen the immune system.
Please bear in mind that the African Biomineral Balance was not created to heal any dis-ease but rather to cleanse the body and provide it with nutrients.
Share this post.
 
Wakuu hii ni kwa wale wote ambao wanafahamu Mambo mbalimbali kuhusu janga linalo trend saivi yaani COVID-19.

Kwa kitu chochote unachokijua unaweza ku share nasisi tufahamu.

Pamoja wakuu
 
Hivi lile onyo la TCRA la ku ripoti wanaotoa taarifa za uongo kuhusu coronow humu halifanyi kazi?
 
haichagui tajiri wala masikini,,
ila maskini hatuwazi covid19, tunawaza tutakula nini,
kila siku maisha ndio yanazidi kuwa magumu,,
 
Nawa mikono kwa maji titirika pamoja na sabinu
Kaa umbali Wa mita moja ukila story na best yako
Ukipiga chafya au kukohoa funika mdomo kwa tishu au kiwiko cha mkono
Epuka safari Zisizo na lazima
Yote Tisa kumi
Daudi alimaliza ugonjwa wa tauni kwa maombi nasi tudumu kweñye maombi maana Mungu niwa rehema
 
Mods: nitaomba Comments zote ambazo zinaonyesha mambo ya msingi ya kuzingatia ama viashiria ambavyo vinaweza kuwa vihatarishi vya usambaaji wa corona viwekwe pamoja kwenye uzi huu ili either mamlaka husika au watu husika waweze kuchukua tahadhari au kufanyia maamuzi ili kusaidia mapambano ya Corona.

Kwa upande wa Hoja ya msingi ambayo imesababisha nilete uzi hapa ni kwa kuzingatia kauli ya Waziri wa Afya ambayo inaeleza usambaaji wa sasa wa virusi vya corona ni wa ndani kwa ndani miongoni mwa jamii zetu.

Sehemu ya kuitazama kwa sasa pia ni wafanyabiashara wanaokuwa wanapanda na kushuka kwenye mabasi wakiuza Soda, maji, Biscuits n.k katika vikapu au mabox ambao huwa wanapanda na kushuka kutoka sehem mbalimbali basi likiwa safarini. Hapa kukiwepo na victim ambaye ni msafiri au muuzaji, basi kunaweza kuwa na uenezwaji wa virusi kwa haraka.

Ninaiomba serikali itoe zuio kwa wafanya biashara hawa kupanda ndani ya mabasi ya abiria ili kuuza bidhaa zao, badala yake wasafiri wanunue kupitia madirishani na sehem maalum ambazo mabasi husimama na kupata huduma ndogondogo. Kwa sababu ukiangalia kwa undani kuingia kwa wauzaji hawa ndani ya mabasi wanakuwa wanatengeneza muingiliano (connection) kubwa sana ndani ya muda mfupi.

Mfanyabiashara mmoja anaweza kuingia kwenye mabasi zaidi ya 10 kwa siku, na basi moja wanaweza kuingia wafanyabiashara zaidi ya 7 kwa siku. Na wanakuwa wanaingia na kushuka toka aeneo tofauti na basi linaMove mji kwenda mji.

Ni kweli huduma zao huwa zinasaidia sana, ila kwa sasa wapumzike kidogo.
 
Kila jukwaa hapa JF juu yake kuna thread ya namna ya kujikinga na corona na imewekwa sticky kabisa.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
What are the symptoms?

The official symptoms are:
  • Dry, persistent new cough
  • Fever
  • Shortness of breath
Other symptoms include:
  • Fatigue
  • Loss of taste and smell
  • Diarrhoea and stomach ache
  • Headache and brain fog

1587285470426.png
 
Carlos The Jackal,
Naomba kuuliza kitu kimoja.... Kesho Ni Jumatatu. Hivi tunakwenda bado makazini??? Naishiwa nguvu kabisa jamani😭😭😭😭😭😭
 
Kuna kitu cha muhimu sana Serikali kupitia Wizara yake ya afya ambacho hawakukisema ipasavyo tokea mwanzoni kabisa ambapo ugonjwa wa corona ulipokuwa bado haujaingia nchini.

Nacho ni inshu inzima ya kuvaa mask (barakoa).

Tukubali au tukatae kunawa mikono pekee kila mara bila ya kuvaa mask (barakoa) ipasavyo ( wether iwe ni N-95 surgically, or hand made mask) , huu ugonjwa UTATUMALIZA VIBAYA SANA na MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA COVD-19 YATAENDELEA KUONGEZEKA KILA KUKICHA.

Chukua hatua sasa. The choice is yours.

***Mark this Thread***

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufikia sasa katika eneo la Tanzania bara wagonjwa wameambukizwa kama ifuatavyo kwenye mabano Dar es Salaam(33), Arusha (4),Mbeya(3), Dodoma (3), Kilimanjaro(3), Pwani,(3) Tanga(3), Manyara(2), Tabora(1), Ruvuma(2), Morogoro(2) Rukwa(2), Kagera(1), Mara(1) na Lindi (1).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom