Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Huu ugonjwa umekuja Kama jaribio la kiimani nimeona Hadi wababe wa dunia wamesanda mikono juu hakuna cha kutumia wanajesh au drones au maagizo toka juu nimechek Hadi Trump na ubabe wake akiombea.Ndo wajue dunia inamwenyewe mwanadamu hawezi kuwa juu kuliko dunia.

Watumie drones kufanya nini hasa? wanadeal na virus sio vita, virus vita yake haitumii wanajeshi inatumia madaktari, wasomi kutengeneza vaccine au cure, hiyo mikono unayosema wamenyanyua sijui umeiona wapi, mlionyanyua mikono ni bongo tu nje watu bado wanapambana kama kawaida hawakai kumuwaza huyo sijui mungu wenu sijui nani.

Sio ugonjwa wa kwanza kutokea na hautokua wa mwisho, kuna magonjwa yaliua watu wengi kuliko huu dawa ikapatikana hadi leo tupo hapa, chanjo ya korona nayo pia itapatikana vilevile tu na huyo kiumbe wenu hatoshiriki vyovyote vile, mtabaki kumpa sifa tu kwa kitu ambacho hajakifanya.

Mzungu aliwavuruga sana, kawaletea dini alafu yeye mwenyewe haitumii hahaha! poor africans, hamjui ukristo haukuwepo kabla ya mzungu kukanyaga africa, leo mnnajifannya mnaujua kuliko yeye aliyeuanzisha. Stupidity is the worst thing ever
 
Yule wa Burundi anajiita mlokole na anasali makanisa ya ulokole kabisa lkn anavowatendea warundi hata shetani apendi.Heri yule wa Rwanda sijui Kama hata ibadani keshawahi kwenda.Kujipa mzigo wa kuonekana ibadani ili wanadamu wakuone yataka Sana moyo.
 
Kwani Rais kakwambia unaposali uache kufuata maelekezo ya wataalam?
hakuna mahala wataalam wameshauri maombi. Sala au maombi hayasaidii chochote.

Hakuna nchi itajiokoa na corona sababu ya kuomba, hata muombe wote mkiwa uchi. Toka lini maombi yakasaidia jambo lolote? Nipe mfano wa tatizo lililoisha sababu ya maombi
 
achana na thinking ya kienyeji as if you have not gone to school.Kwanini ukitupa jiwe linarudi chini, MUNGU KAPENDA!
I just talked from spritual point of view. Though, COVID-19 is a scientific disease, thus should be dealt in labs.

Hilo jiwe kurudi chini, from my form two Physics, inasema unaporusha hilo jiwe juu huwa kuna gravitational force inalivuta chini kitu ambacho velocity ya hilo jiwe kupungua mpaka kufika 0 m/s hivyo mwishowe baada ya kukosa speed linakuwa halina pa kwenda zaidi ya kurudi lilikotoka.
 
I just talked from spritual point of view. Though, COVID-19 is a scientific disease, thus should be dealt in labs.

Hilo jiwe kurudi chini, from my form two Physics, inasema unaporusha hilo jiwe juu huwa kuna gravitational force inalivuta chini kitu ambacho velocity ya hilo jiwe kupungua mpaka kufika 0 m/s hivyo mwishowe baada ya kukosa speed linakuwa halina pa kwenda zaidi ya kurudi lilikotoka.
Kumbe we ni mwelewa, sona hii thread
Mutation rates in viruses zina predict pandemic kama hii ya coronavirus to strike back with time - JamiiForums
 
Tatizo madhambi yake nae ni mengi,Mungu anamtaka binadamu awe msafi,sasa yeye kuwaumiza watu na wengine kupoteza maisha.Hatendi haki kwa wapinzani na watu wengne wanateseka kwa sababu yake yeye,ana upendeleo hasa kwa Makonda na kundi lake.Mungu hauwezi kumzihaki,anacho taka haki itendeke

Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani unahusiana nn na Corona?
 
Inamaana wewe Mungu unamtafuta wakati wa raha tu..! Na shida ikija unatumia akili zako si kumuomba Mungu tena? Huyo atakuwa Mungu wa wajinga iwapo utakuwa unamuabudu kwenye raha tu na kwenye shida unatumia akili zako. Tahadhari kama nchi tunachukua lakini kipaumbele chetu ni Mungu kwanza kabla ya hizo lockdown na ujinga wa kufungiana ndani.
Hizo akili Mungu alizokupa umezitumiaje? Jisaidie namm nitakusaidia........kuruhusu mabasi ya mikoani kuingia na kutoka sehemu ambayo ni kitovu cha ugonjwa halafu uombe Mungu,hata yeye anashangaa kwanini hutumii akili alizokupa
 
Kasema tufunge tuombee taifa
Tunamuunga mkono Rais wetu tunafuga tunaomba Yesu Kristo anaweza
Wewe kama huamini maombi tulia na barakoa yako na sensitizer kwani Corona ikikudibua si sawa tu
Sisi walimu tupo tutafundisha watu wengine wafanye kazi yako
Over
Rais kasema tuombe mungu yupi?
ungu wa Israel?waBudha, wa wapagani?yupi?
 
mugah di mathew
Mungu anasimamia haki..........

Ajiulize kwanza ni kwanini anawatesa sana wapinzani wakati Katiba ya nchi inawapa HAKI SAWA na wao CCM?

Yeye si ndiye "alishinikiza" Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu, wakati akielewa masaibu yaliyompata ya kumiminiwa risasi 16 mwilini mwake, hadi akapelekwa nchi za nje ili kuokoa maisha yake?
Sasa Maswala ya upinzani yanaingiaje kwenye swala la kitaifa la maombi?
Sawa hata kama anadhambi zake wew zinakuhusu nn si atajuana Na Mungu wake!
Na kama unaona kuomba Mungu ni upuuzi kwani umelazimishwa kuomba si uache.
Wanaoona kula umuhimu ndo wafanye , haya upinzani ndo utatuponya kwnye Corona? ?
 
Je, hili ni ombi rasmi la rais?
Binafsi nasikitika. Imani ikizidi inakuwa ni tatizo ktk maisha ya watu. Corona haitatoweka kwa maombi. Ningetegemea serikali itoe maelekezo kwa makanisa na misikiti ili viongozi wa dini wasaidie kusambaza maelekezo. Tukiwadekeza viongozi wa dini, nchi itaangamia. Hili ni jambo la kiafaya siyo la kiroho na haliwezi kutatuliwa kiroho!
Historia haioneshi kwamba kuna magonjwa yanatoweka duniani kwa maombi.
Kwani umelazimishwa mkuu si uache?
 
KENZY, Umenikosha Mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]. CHUKUA MOJA NITALIPA
 
Back
Top Bottom