Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,165
Huu ugonjwa umekuja Kama jaribio la kiimani nimeona Hadi wababe wa dunia wamesanda mikono juu hakuna cha kutumia wanajesh au drones au maagizo toka juu nimechek Hadi Trump na ubabe wake akiombea.Ndo wajue dunia inamwenyewe mwanadamu hawezi kuwa juu kuliko dunia.
Watumie drones kufanya nini hasa? wanadeal na virus sio vita, virus vita yake haitumii wanajeshi inatumia madaktari, wasomi kutengeneza vaccine au cure, hiyo mikono unayosema wamenyanyua sijui umeiona wapi, mlionyanyua mikono ni bongo tu nje watu bado wanapambana kama kawaida hawakai kumuwaza huyo sijui mungu wenu sijui nani.
Sio ugonjwa wa kwanza kutokea na hautokua wa mwisho, kuna magonjwa yaliua watu wengi kuliko huu dawa ikapatikana hadi leo tupo hapa, chanjo ya korona nayo pia itapatikana vilevile tu na huyo kiumbe wenu hatoshiriki vyovyote vile, mtabaki kumpa sifa tu kwa kitu ambacho hajakifanya.
Mzungu aliwavuruga sana, kawaletea dini alafu yeye mwenyewe haitumii hahaha! poor africans, hamjui ukristo haukuwepo kabla ya mzungu kukanyaga africa, leo mnnajifannya mnaujua kuliko yeye aliyeuanzisha. Stupidity is the worst thing ever