Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu


Watumie drones kufanya nini hasa? wanadeal na virus sio vita, virus vita yake haitumii wanajeshi inatumia madaktari, wasomi kutengeneza vaccine au cure, hiyo mikono unayosema wamenyanyua sijui umeiona wapi, mlionyanyua mikono ni bongo tu nje watu bado wanapambana kama kawaida hawakai kumuwaza huyo sijui mungu wenu sijui nani.

Sio ugonjwa wa kwanza kutokea na hautokua wa mwisho, kuna magonjwa yaliua watu wengi kuliko huu dawa ikapatikana hadi leo tupo hapa, chanjo ya korona nayo pia itapatikana vilevile tu na huyo kiumbe wenu hatoshiriki vyovyote vile, mtabaki kumpa sifa tu kwa kitu ambacho hajakifanya.

Mzungu aliwavuruga sana, kawaletea dini alafu yeye mwenyewe haitumii hahaha! poor africans, hamjui ukristo haukuwepo kabla ya mzungu kukanyaga africa, leo mnnajifannya mnaujua kuliko yeye aliyeuanzisha. Stupidity is the worst thing ever
 
MUNGU hasikii sala za wenye dhambi, kwanza atubu RISASI ZA LISSU, amuite lissu na kumuomba msamaha, awaombe radhi wengine wote ndio asali otherwise ni kelele mbele za Mungu
Hili asipolifanyia kazi corona linamfata huko aliko.Na hachomoi.
 
Yule wa Burundi anajiita mlokole na anasali makanisa ya ulokole kabisa lkn anavowatendea warundi hata shetani apendi.Heri yule wa Rwanda sijui Kama hata ibadani keshawahi kwenda.Kujipa mzigo wa kuonekana ibadani ili wanadamu wakuone yataka Sana moyo.
 
Graph,
Imani yako haiwezi kuwa sawa na ya wengine.Tumemjua Mungu hata kabla ya Mzungu.
 
Kwani Rais kakwambia unaposali uache kufuata maelekezo ya wataalam?
hakuna mahala wataalam wameshauri maombi. Sala au maombi hayasaidii chochote.

Hakuna nchi itajiokoa na corona sababu ya kuomba, hata muombe wote mkiwa uchi. Toka lini maombi yakasaidia jambo lolote? Nipe mfano wa tatizo lililoisha sababu ya maombi
 
achana na thinking ya kienyeji as if you have not gone to school.Kwanini ukitupa jiwe linarudi chini, MUNGU KAPENDA!
I just talked from spritual point of view. Though, COVID-19 is a scientific disease, thus should be dealt in labs.

Hilo jiwe kurudi chini, from my form two Physics, inasema unaporusha hilo jiwe juu huwa kuna gravitational force inalivuta chini kitu ambacho velocity ya hilo jiwe kupungua mpaka kufika 0 m/s hivyo mwishowe baada ya kukosa speed linakuwa halina pa kwenda zaidi ya kurudi lilikotoka.
 
Kumbe we ni mwelewa, sona hii thread
Mutation rates in viruses zina predict pandemic kama hii ya coronavirus to strike back with time - JamiiForums
 
Upinzani unahusiana nn na Corona?
 
Hizo akili Mungu alizokupa umezitumiaje? Jisaidie namm nitakusaidia........kuruhusu mabasi ya mikoani kuingia na kutoka sehemu ambayo ni kitovu cha ugonjwa halafu uombe Mungu,hata yeye anashangaa kwanini hutumii akili alizokupa
 
Rais kasema tuombe mungu yupi?
ungu wa Israel?waBudha, wa wapagani?yupi?
 
Sasa Maswala ya upinzani yanaingiaje kwenye swala la kitaifa la maombi?
Sawa hata kama anadhambi zake wew zinakuhusu nn si atajuana Na Mungu wake!
Na kama unaona kuomba Mungu ni upuuzi kwani umelazimishwa kuomba si uache.
Wanaoona kula umuhimu ndo wafanye , haya upinzani ndo utatuponya kwnye Corona? ?
 
Kwani umelazimishwa mkuu si uache?
 
KENZY, Umenikosha Mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]. CHUKUA MOJA NITALIPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…