Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Aongeze mishahara na itoke mapema watu tunahofu.
 
Watu tunaomba toka corona imeingia. Hata kwenye biblia watu waliomba na kuingia vitani kupigana. Yeye anaomba na kulala Chato.
Tusijifiche kwenye kivuli cha maombi.
Kazi na Sala


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Magufuli Amebeba Maono Ya Watanzania. Magufuli Akiwa kama Kiongozi Mkuu wa Taifa Anayo Access Kubwa sanaaaa.

Ya kuongea na MUNGU Na MUNGU AKAMSIKIA!

Magufuli Akiwa kama Rais wa Tanzania nyuma yake raia wote wanamtazama yeye.

Magufuli Anahitaji watu wa rohoni Ambao anasimama nao

Magufuli Anahitaji walinzi wa kiroho ambao watasimama naye.

Kuna watu ambao ni malango. Kuna watu ambao Magufuli akisimama nayo anaweza kupiga hatua kubwa sanaa kama Kiongozi Mkuu na hata Taifa kwa ujumla

Lakini bahati mbaya zaidi wale watu hayupo nao!

Si kila siku viongozi wa dini alio nao Magufuli ni watumishi wa Kweli wa Mungu. Wengine ni ma Agent ambao wapo kumuangamiza.

NINA MENGI YA KUMUELEZA RAIS LAKINI SIDHANI KAMA NAWEZA KUONANA NAYE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walioanzisha dini wamefunga nyumba za ibada, wanaendesha ibada kwa live streaming, wanafuata maelekezo ya watalaam na sio maombi.

Hapa maombi hayana maana. Tufuate ushauri wa wataalam na sio maombi.

Rais anategemea Tanzania tutakua na maombi special sana ambayo watu au mataifa mengine walikosa hadi kupata corona? Mbona sstiglers au sgr hatuambiwi tuombe ijijenge?
 
Back
Top Bottom