sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ndugu zangu watazania ninawaomba kila mmoja wetu ajitakafakari kwa nafsi yake dhidi ya mienendo yetu tu wasafi wa kulalamikia kuwa tukipatwa na corona tunaonewa?
nimeskitika kuna uzi umu ndani watu wanalalama baada ya wito w Rais wa kututaka tutumie siku tatu kumwomba Mungu wetu watu wanasema eti watanzania hatuwezi kuwa wasafi kuliko waitally so so stupid kabisa.
jambo la msingi ni vyema kila mtanzania kwa siku tatu alizo tuomba tuombe ni vyema tuombe kweli viongozi wa kisiasa ni wagumu kuelekeza nchi kuingia kwenye maombi kwa sababu ya jinsi walivyoingia madarakani unapo muona Rais wa nchi anaelekeza njia za kimungu jitafakari mtanzania.
Tafadhali kesho tuungane kufunga na kuomba tuache porojo za kijinga CORONA sio ugonjwa wa ccm wara chadema tuache kukamiana hacheni ujinga tufunge na kuomba.
ushauri njia aliyoitumia Mh Rais kutwit sio nzuri watanzania wanao staili kuombea taifa ili na maombi yao yakapokelewa hawapo twita wapo nje ya twita sio haba mkuu wa nchi ukajiyokeza na kututaka tuombeee mchi nina imani ukitumia TBC 1 utasikika huku kuna wale wakina nani wale.
Sent using Jamii Forums mobile app