Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Namuunga mkono raisi wetu.

Tukijinyenyekeza mbele ya Muumba wetu atatusikia.

Mheshimiwa rais umefanya vyema, umelinyenyekeza Taifa mbele ya Mungu wetu na umelikabidhi kwake kwa hakika umetenda lililo jema mno
 
Kwa hiyo wewe kumwomba Mungu ni kukata tamaa? Hivyo wewe huomba Mungu tu ukishakata tamaa?
Kuna namna ya kuomba. Nikikuta unaomba ugonjwa uishe au usiingie TZ, Neno langu moja litakuwa 'Pumbavu'. Nikikuta unaomba Mungu awasaidie wanasayansi ufumbuzi upatikane, nitasema 'Bravo!' Wakati huo wansayansi wapewe support.

Hii siyo dunia ya miujiza.
 
Nakukumbuka cutelove jinsi topic yako ya lockdown watu walivyojifanya wajuaji,,wale wote waliokua against kwa kushupaza shingo ooh tutakula nini sijui wako wapi? NYIE WOTE MLIOKATAA MEASURES ZA KUSAMBAA KWA HUU UGONGWA EITHER PARTIALLY AMA FULL LOCKDOWN,MJITOKEZA MUWAOMBE RADHI WATANZANIA,MAANA MLIMDANGANYA RAIS WETU,RAIS WETU ALIPUMBAZWA NA UJUAJI WENU..
Becky kweli unadhani total lockdown inawezekana nchi hii? Umewahi kuishi katika viunga vya jiji na nje ya jiji la Dar(mfano) na kuona jinsi maisha halisi yalivyo?

Do you think it's possible?
 
Kama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?



Sent from my iPhone using JamiiForums
Kusali ni moja ya mbinu ya kisaikolojia....
unachanganya na mbinu zingine za ki- scientific
 
Kwa hiyo ni moja ya mikakati yake ya "Do nothing" dhidi ya corona kwa hiyo mkakati wake wapili ni kwenda kulundikana kwenye nyumba za ibada na kupigiana chafya hahahaa

Kwa huyu tuliingia choo cha kike
 
Asante,kwanini siku tatu tu? Au baada ya hapo tuna lock kabisa
 
Kama kusali watu wasali wakiwa majumbani mwao, huko makanisani na misikitini ni kutaka kuleta maafa mengi zaidi ya haya yaliyopo.

Kuna haja ya kupiga BAN kubwa kwenda makanisani na misikitini.
 
What else can he do..?

Absolutely nothing, that’s all... una charger.?
 
Walioanzisha dini wamefunga nyumba za ibada, wanaendesha ibada kwa live streaming, wanafuata maelekezo ya watalaam na sio maombi.

Hapa maombi hayana maana. Tufuate ushauri wa wataalam na sio maombi.

Rais anategemea Tanzania tutakua na maombi special sana ambayo watu au mataifa mengine walikosa hadi kupata corona? Mbona sstiglers au sgr hatuambiwi tuombe ijijenge?
Ww ni mzembe kama sura yako
kila kitu lazima uige mzungu!!???
 
Back
Top Bottom