Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumnanga raisCorona imetuchanganya Hadi mh kasahau tarehe na siku duuuh
Kwa hiyo wewe kumwomba Mungu ni kukata tamaa? Hivyo wewe huomba Mungu tu ukishakata tamaa?
Rais Magufuli anatukumbusha kwa mara nyingine tena ya kwamba, yaliyo ya Kaisari tumwachie Kaisari na yake Mungu tumpe Mungu. Mungu pekee ndiye jibu, na pia Kristo ndiye njia na uzima. Tuzitumia hizi siku 3 ktk kuomba kwa roho na kweli.
Becky kweli unadhani total lockdown inawezekana nchi hii? Umewahi kuishi katika viunga vya jiji na nje ya jiji la Dar(mfano) na kuona jinsi maisha halisi yalivyo?
Do you think it's possible?
Yaani unategemea kanisa litakuokoa.Jiokoe kwa nafsi yako na imani yako. Kanisa ni plenary tu my dear.
Mimi nina hirizi kubwa zingine zinapumua sijui ni vyura hawa wamefichwa humu Swali je, naruhusiwa kuunga hizi juhudi za kutokomeza COVID-19 kupitia maombi?
Kwa mtazamo wako kumbe, Siku zote tukimwomba Mungu tunakuwa tumekata tamaa!? Hebu ficha ujinga wako mbele za wanaume!Hi ni dalili ya kukata tamaa
Hiyo dini waliitunga na kuitengeneza wazungu. Ndio maana wanajua maombi hayana msaada wala maana yoyote.Ww ni mzembe kama sura yako
kila kitu lazima uige mzungu!!???
Njoo unipime. 😉 😉
Jiwe halijui hata trhRais pekee anamjua mungu
Nikikukuta joto liko juu very likely nitakuwa contaminated pia, solution ni sote kujikarantini pamoja.
Tutumie nature kupambana mkuu!sisi wapagani je ?
Nimeishi Dar tena uswahilini,😉😉😉,total lockdown probably is going to be a challenge ila Partial Lockdown is possible..Kuwakataza kutoka kuingia Dareslaam Tulilisema humu three weeks ago,tukaonekana wajinga,i think yes Total lockdown is not as effective kwa nchi kama yetu..kuna watu watakufa tuu..ila watakufa protecting Majority na ndio key principle behind Lockdown.
Hili gonjwa limekuja na neema eti? si ndio..? 😉 🤣 😍😍😍😍😍😍