Maombi ya mwovu ni chukizo mbele ya bwana, kama ni kweli.Tusali kwa Mungu yupi? Maana Rais huyu huyu anasema mtu anayepinga maendeleo anayoyataka yeye, atangulizwe, maana auwawe. Ndiyo tuombe kwa Mungu huyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo mwingine kafanya nini ili tumpe yeye atuongoze?Kama mlianza na kuidharau dawa ni kuwajibika tu sio maombi, kama karantini hotelini, watu wanatoroka karantini, mara karantini jihudumie mwenyewe kutokufunga mipaka ya nchi, anga hadi ndege zipungue ndio hatua ichukuliwe, dawa hapo ni kujihuzuru tu kwa kushindwa kuwakinga raia wako si maombi!
Ndio kawa rais sasa na cha kufanya huna.Niliwahi kusema jamaa hakupaswa kuwa rais, bali mtendaji kwenye maeneo mengine. Urais ni zaidi ya hayo anayowaaminisha watu. Katika mazingira haya ndio utaweza kujua rais stahiki kwa nafasi ya cheo cha urais.
Ndio kawa rais sasa na cha kufanya huna.
Kitabu cha Warumi 3. kinasema wote wanadamu wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu. Sasa hapo nani anaweza kujitokeza na kujiita mtakatifu?Maombi ya mwovu ni chukizo mbele ya bwana, kama ni kweli.
I mean tuko pamoja mkuuUlichokiandika ndicho hicho hicho nilichokiandika, rudia kusoma post yangu hasa pale penye mabano.
Hakuna mpango kazi zaidi ya kila mwananchi kudhamiria kulinda uhai wake na wa mwingine, kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu.Maswala ya kusali yahamasishwe na viongozi wa dini.
Viongozi wa taifa watupe mipango kazi wanayotumia kuhakikisha tunapambana na Corona.
Kuimba wimbo mmoja sio tatizo, ukweli unabakia kuwa sisi tunazo dini zetu japo nchi kama nchi haina dini.Baada ya mwezi na sisi tutaimba wimbo mmoja
Kweli ujinga ni baba lao "maskini wa kufikiri". Ati unadai Dini isitumike kama kichaka cha kubweteka na kushindwa kujikinga na serikali kushindwa kubeba jukumu lake la kupambana na corona kwa kununua vifaa? Yaani, unasubiri serikali:
1) ikuvalishe barakoa!
2) ikusimamie kunawa mikono au kujipaka kitakasa mikono!
3) ikulazimishe kujifungia ndani!
Katika hili, kuna kifungu cha Katiba kimevunjwa? Inaonyesha pia hata wewe huijui KatibaIngia kwenye katiba juwa majukumu ya rais, sio kutenga siku za maombi!
Hakuna anayekataa kusali,ila kusali bila kuchukua hatua ni kukosa maarifa na akili aliyokupa MUNGUWatanzania wanaoamini ktk Mungu tuendlee na dua.
Tusivunjwe moyo na sauti za kuzimu kama hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama commander in Chief anapaswa kutojificha nyuma ya dini anapaswa kutoa maamuzi magumu na kuzuia mikusanyiko hata kwenye nyumba za ibada!