Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Si tuwatumie wasiojulikana watusaidie ,kiburi cha mwanadamu kina ukomoUkiona mkuu wa Taifa Anasema sali basi juwa yajayo yanafurahisha. Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tuwatumie wasiojulikana watusaidie ,kiburi cha mwanadamu kina ukomoUkiona mkuu wa Taifa Anasema sali basi juwa yajayo yanafurahisha. Asante
Dalili za watu waoga ni kutegemea zaidi dola kuliko hoja japo ni waoga ila wapinzani ni waoga zaidi,uoga wao ndio kaburi lao.Kwa udhaifu ulioko leo katika safu ya uongozi wa juu wa Taifa hili tuombe majirani zetu wasituvamie
Hata Zanzibar tu wakiamua watafika hadi Dodoma ndani ya masaa tu
Burundi ndio wala tusiitaje sijawahi kuuona uongozi goigoi kama huu
Ni kweli, kwani yeye upewa updates za ndani kabisa juu ya masuala mazito ya nchi kila siku asubuhi. Imagine katika level ya individual, hauna pesa au pesa kidogo halafu unaumwa na matibabu yanahitajika na bima ya afya hauna.Ukiona mkuu wa Taifa Anasema sali basi juwa yajayo yanafurahisha. Asante
Naona ni njia inayokubalika siunaona US president anatwitee?Hii ya namba moja kutoa matamko twitter imekaaje ki- protokali.... na utekelezaji wa matamko ya namna hii umekaaje..? serikali si huwa inaenda kwa barua...
au ni amesema kama wana twitter wengine ila sio kama president
kwako Pascal Mayalla
Jibu hoja, usilete habari za mwizi yule.Huna tofauti na Yule mwizi aliyekuwa msalabani na yesu.
Iwamu vipi !? Nani kasema tukakusanyike misikitini na makanisani kumuomba Mungu atuondolee Corona? Nani kasema hayo?Tukakusanyike misikitini na makansan kumuomba Mungu atuondolee Corona sio!!!!
Sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msikilizeni Waziri Mkuu au Waziri Ummy Mwalimu au Msemaji Mkuu wa Serikali.#ITVUPDATES:Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania yaongezeka nakufikia 147, baada ya wengine wapya 53 kukutwa na virusi vya Corona,wote ni watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app