Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Kwanini siku tatu? Baada ya hapo tumwombe nani? Muhimu ni kuseme tuendelee kumwomba Mungu bila kuchoka huku tukiacha dhambi!! Pia nimuhimu kuzifuata taratibu za kisayansi katika kujilinda.
 
Kama ni kuomba si kuna hao wanaotuambia kwamba hao ni virusi na wanaambukizwa kutoka Mtu mmoja mpaka mwingine kwa kugusana au kukaa karibu, pia wanatuambia virusi wanakufa kwa sabuni au sanitizer, pia wanatuambia dalili za aliyeambukizwa virusi, wakatuletea vipimio sambamba na kutuambia namna ya kupima na namna ya kusoma kipimo kuona maambukizi.

Sasa tungewauliza kama wao wamejua yote hayo kwa kuomba? na kama kweli kuomba kutatuokoa basi sio kwamba wao ndio waongoze maombi maana inaelekea wanasikilizwa sana?

Vinginevyo hii ni namna nyingine ya kuwaunga mkono kina Mwa Mpesa na kina Joo Devi wanaotuambaia kila siku kwamba Mungu/roho Mtakatifu kawaambia hivi ama vile lakini cha ajabu hawajaambiwa namna ya kuepuka maambukizi wa tiba.

Au dunia nzima tukae chini tuombe tuone nani atamsaidia mwenzake.
 
Kwanini siku tatu? Baada ya hapo tumwombe nani? Muhimu ni kuseme tuendelee kumwomba Mungu bila kuchoka huku tukiacha dhambi!! Pia nimuhimu kuzifuata taratibu za kisayansi katika kujilinda.
Ni makubaliano tu, baada ya hapo tutaendelea kuomba kila siku! Na taratibu za kisayansi tupo nazo sana!
 
Mkuu, wapingaji mbona wako hapa Tu, wakitumia vidole vyao kuchapisha Mandiko ya kupinga na kukataa maombi, lakini mbona tunakutana vizuri huko kwenye nyumba za Ibada!!

Wacha wapinge, lkn Giza la mauti lijapotanda miongoni mwa jamii zao, Jeuri yote itawakimbia, mwenye jeuri ya kumdhihaki Mungu hajawahi kuzaliwa hii Dunia, farao na Ujinga wake wote, alikubali kuwaachia Wana Israel wsondoke mikononi mwake

Wanasahau wakizani hili nalo ni kama Upinzani wa CCM na Chadema, wakidhani wanamkomoa Mbowe na Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania, uwabariki na viongozi wetu wa kisiasa,

Kipekee Mbariki Raisi wetu JPM
Na Tundu Lisu na majeraha yake ya risasi za wasiojurikana!
 
Hii nukuu ya maneno yaliyotolewa na mchungaji PETER MSINGWA ambayo ninayatolewa ufafanuzi wa kina kwani moja moja yanabeza wito wa ulitolewa na Rais ili kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha janga la Corona

“maombi huwa hayambadilishi Mungu, maombi yanapaswa yambadilishe muombaji aache njia zake mbaya, ili mapenzi ya Mungu yatimie katika maisha yake”- Mchungaji PETER MSIGWA

NAOMBA NIFAFANUE KIDOGO ULICHOZUNGUMZA;

Kwanza, NI KWELI MAOMBI HAYAMBADILISHI MUNGU...kwa maana hajawahi kubadilika ni ni Yeye Yule, JANA na LEO na HATA MILELE (Waebrania 13:8).
Lakini maombi yanaweza kubadilisha mabaya (magonjwa/vifo/njaa/ukame n.k) yaliyotokana na maovu yetu tuliyoyafanya. Tuone baadhi ya Mifano ya kwenye Biblia;
Mfano wa 1: MUSA AKIWAOMBA MSAMAHA KWA AJILI YA WANA WA ISRAEL

Kutoka 32:9-14 “Tena Bwana akamwambia Musa, Mimi nimewaona watu hawa, na tazama, ni watu wenye shingo ngumu basi sasa niache, ili hasira zangu ziwake juu yao, niwaangamize, nami nitakufanya wewe uwe taifa kuu. Musa akamsihi sana Bwana, Mungu wake, na kusema, Bwana, kwa nini hasira zako kuwaka juu ya watu wako uliowaleta kutoka nchi ya Misri kwa uweza mkuu, na kwa mkono wenye nguvu? ........GEUKA KATIKA HASIRA YAKO KALI, UGHAIRI UOVU HUU ULIO NAO JUU YA WATU WAKO. Mkumbuke Ibrahimu, na Isaka, na Israeli, watumishi wako, ambao uliwaapia kwa nafsi yako, na kuwaambia, Nitazidisha kizazi chenu mfano wa nyota za mbinguni; tena nchi hii yote niliyoinena nitakipa kizazi chenu nao watairithi milele. NA BWANA AKAUGHAIRI ULE UOVU ALIOSEMA YA KWAMBA ATAWATENDA WATU WAKE.”
Tutazame mambo mawili hapo;

i. GEUKA KATIKA HASIRA YAKO KALI, UGHAIRI UOVU HUU ULIO NAO JUU YA WATU WAKO.

ii. NA BWANA AKAUGHAIRI ULE UOVU ALIOSEMA YA KWAMBA ATAWATENDA WATU WAKE.” (And the LORD repented “nachem in Hebrew” of the evil which he thought to do unto his people). Neno “nachem” linamaanisha –to be sorry, console oneself, regret.
“aYiNächem y'hwäh al-härääh ásher DiBer laásôt l'aMô"
Maombi ya mtu yeyote mwenye haki au aliyekuwa na dhambi akaamua kumgeukia Mungu, Mungu huponya na kumuondoa katika uangamivu. Hivyo, hatuombi kwa ajili ya kumbadilisha Mungu bali kubadilisha kile kibaya kilichokuwa kitupate au kilichotupata kutokana na uovu/dhambi zetu.
“Wakamlilia Bwana katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. Akawaongoza kwa njia ya kunyoka, Wapate kwenda mpaka mji wa kukaa (Zaburi 107:6)”

Mfano wa 2. MAOMBI YA MUSA NA HARUNI KWA MUNGU DHIDI YA GHADHABU YA BWANA KWA WANA WA ISRAEL
Hesabu 16:43-48“Na Musa na Haruni wakaenda hapo mbele ya hema ya kukutania. Naye Bwana akanena Na Musa, Na kumwambia, Ondokeni kati ya mkutano, ili niwaangamize mara moja. Wao wakapomoka kifudifudi. Musa akamwambia Haruni, Haya, shika chetezo chako, ukatie moto ndani yake, moto wa madhabahuni, kisha utie na uvumba juu ya moto, ukakichukue haraka, wende nacho katika huo mkutano, ukawafanyie upatanisho; kwa kuwa ghadhabu zimetoka kwa Bwana; hiyo tauni imeanza. Basi Haruni akakishika chetezo kama Musa alivyonena, akapiga mbio akaenda katikati ya mkutano; na tazama, tauni ilikuwa imeanza kati ya watu; akatia uvumba juu ya moto na kufanya upatanisho kwa ajili ya hao watu. Akasimama kati ya hao waliokufa na hao waliokuwa wakali hai; tauni ikazuiwa.”
Tauni (ugonjwa) iliwapiga wana wa Israel, MUSA na HARUNI wakaamua kumuomba Mungu, na Tauni ikazuiliwa baada ya kuuwa watu 14,700 ukiendelea kusoma mstari wa Hesabu 16:49. Leo PETER MSIGWA unakatisha watu tamaa kuomba kwa maombi yanambadilisha muombaji wakati maombi yana uwezo wa pia kubadili mambo yaliyojitokeza katika jamii kama Corona.

MFANO WA 3. NINAWI DHIDI YA UNABII WA
YONA
YONA 3:4-10 “Yona akaanza kuuingia mji mwendo wa siku moja, akapaza sauti yake, akasema, Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa. Basi watu wa Ninawi wakamsadiki Mungu; wakatangaza kufunga, wakajivika nguo za magunia, tangu yeye aliye mkubwa hata aliye mdogo. Habari ikamfikia mfalme wa Ninawi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake, akajivika nguo za magunia, na kuketi katika majivu. Naye akapiga mbiu, akatangaza habari katika mji wa Ninawi, kwa amri ya mfalme na wakuu wake; kusema, Mwanadamu asionje kitu, wala mnyama wala makundi ya ng'ombe, wala makundi ya kondoo; wasile, wala wasinywe maji; bali na wafunikwe nguo za magunia, mwanadamu na mnyama pia, nao wakamlilie Mungu kwa nguvu, naam, na wageuke, kila mtu akaache njia yake mbaya, na udhalimu ulio mikononi mwake. Ni nani ajuaye kwamba Mungu hatageuka na kughairi, na kuiacha hasira yake kali, ili msiangamizwe? Mungu akaona matendo yao, ya kuwa wameiacha njia yao mbaya. Basi Mungu akalighairi neno lile baya, ambalo alisema atawatenda; asilitende.

Je, MSIGWA hapa Mungu hakubadili kusudio lake baada ya maombi ya watu wa Ninawi wakiongozwa na Kiongozi/Mfalme/Rais?

Mch. PETER MSIGWA, Mtumishi wa Mungu hebu acha kuchanganya siasa na masuala muhimu ya Kiroho. Kama Mchungaji ungekuwa mstari wa mbele kuwaongoza na kuwafundisha watu kutumia nafasi ya maombi Kitaifa ambayo Mhe. Rais Dkt. JOHN MAGUFULI ametangaza.
Siyo kuonesha watu kwa maombi yanayofanyika si kitu, wala hayawezi kusababisha Mungu akafanya jambo jipya Tanzania kufuatia CORONA. Je, Mungu anachagua magonjwa ya kuponya? Hakuna linalomshinda Mungu.

TANZANIA TUENDELEE KUMUOMBA MUNGU KWA MAANA YEYE NDIYE NGOME YETU NA TUMAINI LETU

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI RAIS WETU DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zingatia maelekezo ya Afya juu ya Korona then Utubu. kuomba Korona iishe pekee wakati mnaendelea na mambo yenu yamchukizwayo Mungu ni kazi bure na mnamtia hasira Mungu.......Tubuni kwanza alafu muombe......
 
1 Chronicles 21:15 Naye Mungu akatuma malaika aende Yerusalemu ili auangamize; naye alipokuwa tayari kuangamiza, Bwana akatazama, akaghairi katika mabaya, akamwambia malaika aharibuye, Basi yatosha; sasa ulegeze mkono wako. Naye malaika wa Bwana akasimama karibu na kiwanja cha kupuria cha Arauna, Myebusi.

Jeremiah 26:19 Je! Hezekia, mfalme wa Yuda, na watu wote wa Yuda, walimwua Mikaya? Je! Hakumcha Bwana, na kumwomba Bwana awafadhili; naye Bwana akaghairi, asiyatende mabaya yale aliyoyatamka juu yao? Na sisi tungetenda mabaya makuu juu ya roho zetu.

Amos 7:3 Bwana akaghairi katika jambo hili. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana.

Amos 7:6 Bwana akaghairi katika jambo hili pia. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana MUNGU.

Acts 7:42 Basi Mungu akaghairi, akawaacha ili waliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika chuo cha manabii, Je! Mlinitolea mimi dhabihu na sadaka Miaka arobaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?

1 Haya ndiyo aliyonionyesha Bwana MUNGU; tazama, aliumba nzige mwanzo wa kuchipuka kwake mimea wakati wa vuli; na tazama, ilikuwa mimea ya wakati wa vuli baada ya mavuno ya mfalme.
2 Ikawa, nzige walipokwisha kula majani ya nchi, ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, samehe, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo.
3 Bwana akaghairi katika jambo hili. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana.
4 Haya ndiyo aliyonionyesha Bwana MUNGU; tazama, Bwana MUNGU aliita ili kushindana kwa moto; nao ukavila vilindi vikuu, ukataka kuiteketeza nchi kavu.
5 Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, acha, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo.
6 Bwana akaghairi katika jambo hili pia. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana MUNGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu makala ndefu yote hiyo sijaona critical thinking yako binafsi, haswa kwa mazingira tuliyopo. Unanakili masimulizi ya zaidi ya miaka 2000 bila ya kujadili kinachotokea leo kwa mtazamo na akili zako.
 
Na Tundu Lisu na majeraha yake ya risasi za wasiojurikana!
Mkuu, Tundu Lisu, amekuwa Corona!!? Kwa SASA Taifa linaomba ili Mungu aingilie Kati kuhusu Corona,

Kitacho baki mioyoni mwa watu, ni hukumu zao Ila Sio za Mungu, na Mungu hapangiwi, apendacho hutenda, ni Kwa ajiri yake mwenyewe
 
Wakati wa raha sikuwahi kusikia tumuombe Mungu kwa siku tatu,,Ila shida ndio agizo la kumuomba Mungu. Tujifunze kumuomba Mungu wakati wa raha siyo mpaka shida .
 
Kuomba kwa siku tatu kama alivyo agiza mheshimiwa Rais Magufuli Siyo: kuacha kuzingatia maelekezo yote ya kitaalamu, siyo kukubali kwamba serikali ipo sahihi kwa kila kitu! Siyo kuunga mkono juhudi, siyo kufumbia tatizo macho!

Kukubali kuomba ni kukubali kwamba janga hili ni kubwa, ni kuona jinsi ambavyo, hata nchi zenye maendeleo makubwa ya kitabibu na utaalamu, wamekwama! Ni kuamini kwamba mwenyenzi Mungu anaweza kutusaidia, kutokomeza ugonjwa, kutupa hekima ya kukabiliana na ugonjwa na kutulinda! It is a high time that we work together in unity, because we have a common enemy!

Tunatofautiana itikadi, imani na mambo mengi kimtazamo, lakini tuna adui mmoja anaye tushambulia kwa sasa, tuungane kumkabili! Kila Mtu kwa imani yake, Mh. Godbless Lema ametuwekea mfano.
Dunia ya leo ina wacha Mungu wa kweli wachache mno. Nao wapo ktk kila dini na matendo yao huthibishwa kupitia uadilifu, maadili na hata ibada zao.Tunaishi nao pamoja ktk jamii zetu, huwa ni wenye bidii ktk ibada ili kumtafuta Mola wao, wawazi na wakwelii.

Na kutokana na hilo baadhi yao wakihukumiwa pasipo makosa yoyote yale, na hata wengine wakiwajibishwa pale wanapotofautiana kimsimamo na watu dhalimu na waovu. Ni ukweli kwamba vipo vyama vya kisiri vyenye kutaka kuitawala dunia yote kwa matakwa yao, ikiwemo ya kiunabii kupitia kuwa na dini moja.

Naam! Vyovyote vile iwavyo, wengi wetu hupenda kuziita hoja kama hizi kuwa ni "Conceptual & Conspiracy Theories" lkn ukweli ni matukio makubwa ambayo hutokea duniani huratibiwa kwa usiri mkubwa na makundi ya watu hawa.

Katika kitu ambacho kiliwandisha kwa muda mrefu ni suala la muundo wa dini moja. Na kipo kitu ambacho siku zote kimekuwa kikiwazuia kufaniksha jambo hili ni uweza wa kimungu, ambao kwa wale wenye imani ya Kikristo huiita uweza huu Roho Mtakatifu.

Tunasikia kilio chenye kutaka kuondoa ama kupiga marufuku mikusanyiko ya kidini ktk kipindi hiki cha janga la Corona. Na tena suala siyo wafanye hivyo kwa kuzingatia masuala ya kiafya kwenye nyumba na sehemu za ibada kama vile "social distancing" bali wasikubaliwe kutenda kazi zao kabisa.

Hakika hawa wacha Mungu ndio walengwa haswa wa ujio wa gonjwa hili. Kila uchao tutasikia masharti mapya na hatimaye suala kuendesha ibada litaonekana kuwa ni tishio kubwa la "Community transmission". Kwa mazingira haya nguvu hii ni wakati wake maalum uliopangwa kutokea na sasa utafanikiwa.

Ni muda rasmi umefika wa uweza huu wa kimbingu kuondolewa duniani katika duniani Advocaters na mashabiki wa mpango huu kilio chao sasa kimesikika. They asked for some, now they have to come and take some. The game has just begun, and we are all in it. Kila asikiaye na azingatie haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom