Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Becky kweli unadhani total lockdown inawezekana nchi hii? Umewahi kuishi katika viunga vya jiji na nje ya jiji la Dar(mfano) na kuona jinsi maisha halisi yalivyo?

Do you think it's possible?
Mwambie aende Kule Keko bondeni kuanzia Matank ya mafuta ya BP mpaka maghorofa ya JWTZ, halafu alete mrejesho
 
[QUOTE="Truth Teller,
Walokole mnavyojua kuniona Bora, basi hapa unaona umeweka point kumbe umejaza maneno tu
 
WAKO WAPI WATU WAKO,
Hizi ngonjera zenu pelekeni mwituni.....
raisi ni binadamu kama wengine...
HE has a room to make mistake and correct for the same......
stop making noise my brother....
next time, try to improve your argument...
 
Measure kama lockdown mass screening, kugawa chakula kama Rwanda na Uganda wanavofanya mzee baba yeye anasema tusali? Kuna vitu unaweza ukajikuta unalia hujui la kufanya [emoji23]

Sent From Galaxy S9
 
Kwa hiyo ni moja ya mikakati yake ya "Do nothing" dhidi ya corona kwa hiyo mkakati wake wapili ni kwenda kulundikana kwenye nyumba za ibada na kupigiana chafya hahahaa

Kwa huyu tuliingia choo cha kike
Huwaga unaingia chaka baya sana ww!!!?
uwezo wako wa ku - reason ni mdogo sana..
usikute na ww ni think tank wa chama mbadala...!!!
ha ha haaa mahoka....
 
Siamimini ktk kumuachia Mungu haya mambo, kikubwa labda ni psychology ya watu kuwa Mungu anasikiliza hivyo tutakuwa na peace of mind ila jitihada za binadamu ndio kimbilio hapa.
 
🎢 paulo na silla waliomba...
Milango ya gereza ikafunguka🎢
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kazi ipo
 
Sijui kama umemuelewa!!! Anamaanisha kuwa hao wenye dini yao na maombi yao, Roman's, corona inawasulubu,
Hili gonjwa ni la kisayansi tufate maelekezo ya wanasayansi wetu lasivyo tutaangamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…