kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Mwambie aende Kule Keko bondeni kuanzia Matank ya mafuta ya BP mpaka maghorofa ya JWTZ, halafu alete mrejeshoBecky kweli unadhani total lockdown inawezekana nchi hii? Umewahi kuishi katika viunga vya jiji na nje ya jiji la Dar(mfano) na kuona jinsi maisha halisi yalivyo?
Do you think it's possible?