Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Raisi aache kazi zisizomuhusu aje na mpangokazi wa kuhusu Corona. Badala ya kuwa busy ofisini wakati huu yeye bado anajipa likizo huku serikali yake ikiomba hela kila siku kwa wananchi badala ya kuwahudumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Omba chama chako kikuteue ugombee Urais labda utawaambia WaTz ungeweza kufanya nini kwenye janga hili. Mawazo ya kijiweni yabaki huko huko
 
Katika sehemu ya watu wengi huwezi toa maamuzi yakakubalika na wote na kipimo cha maamuzi bora ni matokeo yake. Binafsi nakubaliana na mh maana kwa nchi yetu hii ya tanzania hatuwezi fungia watu ndani.

Tutaumiza wengi kwa njaa ila kwa kuwa wengi tuna imani na tunaamini MUNGU anatusikia basi kila mtu aombe kwa MUNGU huku akifuata taratibu zilizotolewa na mamlaka za afya.Natumai mambo yatakuwa poa tu baada ya siku kadhaa.
 
Hakika hili linawezekana.maana hata Mungu pia anaangalia ni nani miongoni mwa marais na wakuu wa nchi wote aliyetayari kumuamini kwamba ataiponya nchi hata kama kuna majanga kiasi gani.
Yupo wapi kwa Sasa?
 
Hayo maombi hayavuki hata kikombe yeye kashindwa kamsamehe Membe anategemea Mungu atamsikia
 
Sunset ya leo saa 18:08
IMG_20200416_233129.jpg
tapatalk_1587068574337.jpg
tapatalk_1587068112099.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungeni...mmetustukiza wengine...hatuwezi kuacha kula hata masaa mawili aisee! Kila la heri!
 
Mkeshe mki sali mahana amjui siku wala saha ya mwana wa adamu kuludi.
 
Nimeyapenda maneno haya, watanzania tuingie kwenye maombi, hakika tutashinda hii vita inayotukabili, hii vita ya korona, ni Mungu pekee anayeweza kutushindia, raisi wetu ameonyesha njia, tusimame kwa imani tusonge mbele Mungu ataliponya taifa. Hakika Mungu atajidhihirisha na dunia itashangaa. Watanzania tuungane bila kujali dini wala siasa.
IMG-20200416-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom