Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

sifi leo,
Unataka kusema nchi nyingine hawajui kuomba, wewe utakuwa ulishapanga namna ya kukusanya sadaka, hela zitawapeleka pabaya na zaidi ni motoni
 
Umeandika vizuri ila mambo ya kafara yameningia vipi hapo mkuu? Weka point zako bayana achana na imani za kishirimina

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mifano ya wanaojutia ipo wazi na tunaiona how come this Guy anatufanyia Makusudically tufe... mimi nikijua fulani kaukwaa basi najiepusha nae sasa kufichwa fichwa kupumbavu ndio kafara zenyewe hizi.. how come Waziri mkuu wa England kawekwa wazi nae alijiweka kando asiambukize wengine...
 
Screenshot_20200416-211952.png

Nadhani hata hayo mambo ya kafara mnamsingizia tu Clueless individuals ndio watawala wetu kwa sasa
 
Lockdown inaanza na wewe, acha kusubiri serikali bwashee.... jifungie na familia yako.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
huu ugonjwa ni scientifally au ni spiritually.? Mungu anasema jisaidie mwenyewe kabla hajakusaidia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba hilo andiko sijui ni kutoka kitabu gani cha imani linalosema "Mungu anasema jisaidie mwenyewe kabla hajakusaidia" hilo tunalipata kwenye Qurani au Biblia?Leta maandiko tujifunze.
 
Yaan Mungu aache kuwasaidia na kuwaepushia hili janga watu wenye akili dunia ya kwanza uko aje atuepushie sisi seriously..???

Hatuna mchango wowote katika dunia hii zaidi ya kua mizigo tu, tunapenda vitonga kweliii, watu wanaumiza vichwa uko kutafuta chanjo sisi tunabwabwaja tu na wasomi wetu uchwara. Watu weusi sisi kweli tulilaaniwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu unahitaji msaada wa kiroho,tofauti ya mtu mweusi na mweupe mbele za Mungu ni nini?Kwa kuwa Mungu ameacha kwa mtazamo wako kuwaepusha watu weupe na janga hili je hii inamanisha hawezi kutusaidia sisi?Na ni nani alikuambia watu weusi hawana mchango wowote duniani?Do not try to make your opinions be facts.Wewe ni mzigo kwa nani?

Punguza negative attitude towards Africans,hao wazungu ambao unaona wana akili,si ndiyo wanaoana wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake,hiyo ni akili au?Kila mtu hapa duniani haijalishi yukoje ni wa muhimu na Mungu anasababu ya kumleta hapa duniani.
 
Truth Teller, Tatizo madhambi yake nae ni mengi,Mungu anamtaka binadamu awe msafi,sasa yeye kuwaumiza watu na wengine kupoteza maisha.Hatendi haki kwa wapinzani na watu wengne wanateseka kwa sababu yake yeye,ana upendeleo hasa kwa Makonda na kundi lake.Mungu hauwezi kumzihaki,anacho taka haki itendeke

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Mkuu hayo ndiyo maombi yako umeanza kuomba au tusubilie mengine?
 
Hi ni dalili ya kukata tamaa
Sio kukata tamaa, kama kiongozi lazima ujue strengths na weaknesses za Taifa lako, Rais amekuwa mkweli nami namuunga mkono, nchi masikini za dunia ya tatu hazina uwezo wa kupambana na Corona. Angalia yanayotokea nchi masikini ya Ecuardo na angalia yanayotokea USA ambaye ni mwamba na mbambe wa dunia.

Pamoja na ubabe na nguvu zake USA anapekekeshwa namna ile na Corona, sisi ni nani na tuna uwezo gani? Kwa hili namuunga mkono Rais na ninatekeleza ombi lake kwa vitendo.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom