Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama maelezo yote haya huja yaelewa ulitaka ama unataka nkueleze ama nikujibu jibu gani tena mkuu ili uache kunidharauMara nyingi najikuta nawadharau maana hamuelewi hoja za Kiranga.
Hatukatai kwamba Mungu huyo ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu unaowezekanika kufanyika mabaya, tatizo ni pale Mungu huyo anapojisifu kuwa ana upendo kwa viumbe wake.
Sheria ya upendo ilipaswa imfunge asiumbe ulimwengu unaowezekanika kufanyika mabaya haya yaliyokuwepo, yaliyopo na yatakayokuja!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe una mungu? Makubwa.Kutudharau kwako wala hakutapingana na ukweli wakwamba Kuna Mungu
Nanikakutolea Mifano Yakutosha Mfano Mwalimu Anapenda Maendeleo Yawanafunzi Wake Lakini Kwanini Hawapi Majibu Wakati Wakuwapa Mitihani Na Anawapa Maswali Matupu !?
Mama Anampenda Mwanawe Lakini Akikosea Anamuonya Ama Kumuadhibu Kama Kumrekebisha
Nanikakwambia Kabisa Kwa Sisi Waislam Tuna Amini Yakwamba Mungu Kaiumba Dunia Halafu Akatuekea Mipaka Hili Tufanye Nalile Tusilifanye (Kama Katupa Mtihani Ila Akatupa Namajibu Ambayo Ninamna Yakuishi Kwahio Nisisi Wenyewe Akili Kichwani Maana Majibu Yapo)
Pia Nikukumbushe Mungu Huyo Huyo Anaesema Kama Anaupendo Kwetu Hakumalizia Hapo Akasema Yeyepia Nimwingi Ama Nimjuzi Sana Wakuadhibu Atakapo Amua Kufanya Hivyo Pale Atakapo Ona Panafaa Nandio Maana Tukaona Kuna Umma Ama Watu Waliopita Waliadhibiwa Kwamaovu Yao Kama Kina Qaumu Luti
Ila Pia Mungu Huyo Huyo Anahuruma Maana Angesema Maskini Waumwe Matajiri Wasipone Angekua Tayari Anamahabba Ila Akaweka Wote Daraja Moja Mtaumwa Na Itafikia Wakati Mtaondoka
Hujawahi Jiuliza Pumzi Mnayoivuta Mungu Mwenye Upendo Wake Nahuruma Anawachaji Kiasi Gani Halafu Nenda Mahospitali Yaserikali Ama Binafsi Ambayo Yanaupendo Wanakost Beigani Magesi Yakupumulia Wagonjwa
Mungu Alituekea Sheria Lazma Zifuatwe Kama Taratibu Zawatu Kuishi Ukikiuka Taratibu Nasheria Husika Lazma Uadhibiwe Ama Ujiadhibu Nandio Maana Hata Dokta Anaweza Akakuandikia Umeze Dawa Ama Sindano Kwautaratibu
Mwisho Kabisa Nataka Kiranga Anithibitishie Kwanini Mungu Hayupo
Sasa kama maelezo yote haya huja yaelewa ulitaka ama unataka nkueleze ama nikujibu jibu gani tena mkuu ili uache kunidharau
Japokua sikatai kudharauliwa sababu naona kawaida tu jamii inayotuzunguka inamengi mno lazma tujifunze kwayo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawewe una akili ulishawahi kuziona ama kuzisikia ama hata kunusa harufu yake tofauti nakusikia habari zake vitabuni ulishawahi kuzionaNa wewe una mungu? Makubwa.
Ulishawahi kumuona au hata kuongea nae?
Tofauti na kusikia habari zake vitabuni ulishawahi kuongea nae? Ulishawahi kumuona?
Mimi nilishawahi ila siwezi kukupa ushahidi kama ambavyo wewe huwezi kunipa ushahidi kuwa wewe ni mtu halisia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawewe una akili ulishawahi kuziona ama kuzisikia ama hata kunusa harufu yake tofauti nakusikia habari zake vitabuni ulishawahi kuziona
Naomba ushahidi kama nawewe una akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutudharau kwako wala hakutapingana na ukweli wakwamba Kuna Mungu
Nanikakutolea Mifano Yakutosha Mfano Mwalimu Anapenda Maendeleo Yawanafunzi Wake Lakini Kwanini Hawapi Majibu Wakati Wakuwapa Mitihani Na Anawapa Maswali Matupu !?
Mama Anampenda Mwanawe Lakini Akikosea Anamuonya Ama Kumuadhibu Kama Kumrekebisha
Nanikakwambia Kabisa Kwa Sisi Waislam Tuna Amini Yakwamba Mungu Kaiumba Dunia Halafu Akatuekea Mipaka Hili Tufanye Nalile Tusilifanye (Kama Katupa Mtihani Ila Akatupa Namajibu Ambayo Ninamna Yakuishi Kwahio Nisisi Wenyewe Akili Kichwani Maana Majibu Yapo)
Pia Nikukumbushe Mungu Huyo Huyo Anaesema Kama Anaupendo Kwetu Hakumalizia Hapo Akasema Yeyepia Nimwingi Ama Nimjuzi Sana Wakuadhibu Atakapo Amua Kufanya Hivyo Pale Atakapo Ona Panafaa Nandio Maana Tukaona Kuna Umma Ama Watu Waliopita Waliadhibiwa Kwamaovu Yao Kama Kina Qaumu Luti
Ila Pia Mungu Huyo Huyo Anahuruma Maana Angesema Maskini Waumwe Matajiri Wasipone Angekua Tayari Anamahabba Ila Akaweka Wote Daraja Moja Mtaumwa Na Itafikia Wakati Mtaondoka
Hujawahi Jiuliza Pumzi Mnayoivuta Mungu Mwenye Upendo Wake Nahuruma Anawachaji Kiasi Gani Halafu Nenda Mahospitali Yaserikali Ama Binafsi Ambayo Yanaupendo Wanakost Beigani Magesi Yakupumulia Wagonjwa
Mungu Alituekea Sheria Lazma Zifuatwe Kama Taratibu Zawatu Kuishi Ukikiuka Taratibu Nasheria Husika Lazma Uadhibiwe Ama Ujiadhibu Nandio Maana Hata Dokta Anaweza Akakuandikia Umeze Dawa Ama Sindano Kwautaratibu
Mwisho Kabisa Nataka Kiranga Anithibitishie Kwanini Mungu Hayupo
Sasa kama maelezo yote haya huja yaelewa ulitaka ama unataka nkueleze ama nikujibu jibu gani tena mkuu ili uache kunidharau
Japokua sikatai kudharauliwa sababu naona kawaida tu jamii inayotuzunguka inamengi mno lazma tujifunze kwayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenijibu MKUU Ila Sijakuelewa Kiukweli Ila Unaweza Nielewesha Zaidi Kama Hutojali Halafu Pia Unaweza Nipa Naushahidi Wakua na Akili Kama UpoMimi nilishawahi ila siwezi kukupa ushahidi kama ambavyo wewe huwezi kunipa ushahidi kuwa wewe ni mtu halisia.
Kama ningekuwa sijawahi kama wewe bora tubaki kuamini za mababu zetu.
Kwanza Mifano Yangu Sio Kumfananisha Mungu Nawazazi Kwasababu Mungu Hafananishwi Nachochote KileMifano yako ni kumfananisha Mungu na wazazi wetu au kumfananisha Mungu na walimu wa kibinadamu.
Imeandikwa ya kwamba Mungu ni muumbaji wa yote, ni muweza wa yote, ni mwenye upendo na pia hutambua yote kabla ya yote.
Sasa walimu wetu wangekuwa ni waweza wa yote kusingekuwa na haja ya kukaa darasani kwa miaka/miezi/wiki/siku/masaa/dakika au sekunde kadhaa, bali wangehamisha tu kile kilicho kwenye akili zao kuja kwenye akili zetu ili kuokoa muda na mambo mengine.
Kumbuka kwamba kukaa kwetu darasani mpaka kuja kupewa mitihani ni ili kupima kama kilichoko kwenye akili za walimu wetu kimeweza kuingia kwenye akili zetu walau kwa asilimia 90%+.
Kadhalika wazazi wetu hutupa maonyo si kwamba ni vibaya, wanatuonya kwa sababu hawana uwezo wote. Hata kama ni wewe Bwana Utam huwezi kumpa mtoto wako onyo kama ungekuwa na uwezo alionao Mungu wako bali ungepaswa tu kuweka sheria ya kiautomatiki ndani yake ambayo haina madhara kwake kwa kuwa unampenda.
1) Mungu wako ana uweza mwingi usio na kipimo
2) Mungu wako ni mjuzi wa yote/hapana lililofichwa kwake tangu ulipoanza ulimwengu huu mpaka utakapofika kikomo na wala hamna lolote linalohitaji muda kulibadilisha au kulirekebisha. (kwanza kurekebisha jambo ni sifa ya kiumbe ambacho si kiweza cha yote. Muweza wa yote hahitaji kufanya jambo linalohitaji marekebisho bali anapaswa kufanya mambo makamilifu ambayo hayahitaji marekebisho!)
3) Mungu wako ni mwenye upendo kwetu na kwa chochote alichofanya! Kuanzia huyo mnaemuita shetani mpaka kwa viumbe vingine, Mungu mjuzi wa yote hakupaswa kuonyesha kuyumbayumba kwa kazi yake kamilifu kama msemavyo japo si kamilifu!.
Sasa Kiranga anapotaka uthibitisho kutoka kwenu sio kwamba anataka mumlete huyo Mungu au mumpe namba zake za simu, bali anachohitaji Kiranga ni mfafanue hizi taratibu za huyo Mungu mbona hazipatani na akili?
Muweza wa yote kashindwa au anaweza lakini hana upendo kwa wapendwa wake?
Mtasema anawapima au anawapa mtihani. Kwa mtu timamu, huwezi kusema mtihani unapewa na Mungu aliyekujua vyema hata kabla ya kuumbwa tumboni mwa mamaako huku akiwa anakupenda.
Fikiri vyema, tafakari kisha uniquote. Napenda kujadili haya mambo lakini napenda kujadili na mtu mwenye ufahamu ulio huru!.
Alafu unamhitaji Kiranga athibitishe Mungu hayupo ilihali comments zenu/wewe na Kiranga zinaonesha huyu Mungu tunaemjadili hapa hayupo na wala hajawahi kuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
I
Hahaa!sasa awanusuru wakati yeye anawinda makafara!