Lovely sister
Senior Member
- Jan 16, 2015
- 119
- 193
Hahaa, na wewe unapinga tu hujathibitisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa, na wewe unapinga tu hujathibitisha?
Akikujibu unitag Lovely sisterHahaa, na wewe unapinga tu hujathibitisha?
Unatambua hata ww ili uishi kuna viumbe wengine inabidi wafe ili ww uweze kuishi ?Kwani huyo Mungu wako akishindwa kuwapa wote haki ya kuishi bila ya mmoja kumdhuru mwingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje hilo?
Nithibitishe nini? Kwamba Mungu hayupo?Hahaa, na wewe unapinga tu hujathibitisha?
Mungu alishindwa kufanya kuwa si lazima viumbe fulani wafe ili wengine waishi?Unatambua hata ww ili uishi kuna viumbe wengine inabidi wafe ili ww uweze kuishi ?
Mfano mimea , na wanyama kwa hiyo tunaishi kwa kutegemeana ndo utaratibu aliouweka mwenyewe muumba Wa aridh na mbingu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili tukuelewa thibitisha kuwa hoja zinazodai uwepo wa Mungu hazina mashiko, Thibitisha kuwa Qur an si maneno ya Mungu.Nithibitishe nini? Kwamba Mungu hayupo?
Uthibitisho gani utakuridhisha kwamba Mungu hayupo?Ili tukuelewa thibitisha kuwa hoja zinazodai uwepo wa Mungu hazina mashiko, Thibitisha kuwa Qur an si maneno ya Mungu.
Ukishindwa kuthibitisha maana yake unapinga kitu ambacho hukijui.
Mfano mimi nikipinga uwepo wako wewe kiranga itakuwa either nakujua au najua sifa zako ambazo kama sikuziona au kizithibitisha it means hupo. Ila kama sikujui sina haki ya kusema hupo kwa sbb sijui sifa zako, sijui maandishi yako, sijui chochote kuhusiana na wewe.
Kwa ufupi ili uthibitishe uwepo au kutokuwepo kwa kitu lazima kwanza uwe unajua characteristics za hicho kitu, otherwise utakuwa unapinga uwepo wa kitu ambacho hukijui! [emoji3]
Uthibitisho wowote unaouamini wewe! kipimo chochote unachokikubali wewe!Uthibitisho gani utakuridhisha kwamba Mungu hayupo?
Uthibitisho upi utakufanya ukubali kwamba Quran si maneno ya Mungu?
Kipimo gani utakikubali nikikitimiza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo utakuwa si mzuri.Uthibitisho wowote unaouamini wewe! kipimo chochote unachokikubali wewe!
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo, halafu ulumwengu unaoruhusu mabaya kuwepo, hilo ni contradiction.
Unaelewa hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Who are we to question Him? Ikiwa ni Mungu kweli na ana uwezo wa kila kitu, basi ana haki ya kufanya atakalo bila ya kuulizwa na yeyote. Na ndio maana anafanya kwa sababu hakuna wa kumuuliza kwa nini afanye aliloamua. He is the top off all! Haogopi chochote wala hajali athari ya lolote analofanya, sisi ndio wa kuogopa na kumuomba na kumnyenyekea kwa sbb tunamuhitajia yeye asituletee majanga au atuondoshee majanga!
Yeye hapati faida wala hasara kwa kuleta maradhi, au kuleta afya, kwa uhai wetu au vifo vyetu, kwa huzuni zetu au furaha zetu, kwa wema wetu au ubaya wetu, kwa lolote yeye anabaki kuwa na Nguvu za kipekee.
Mara nyingi najikuta nawadharau maana hamuelewi hoja za Kiranga.Nandio Maana Uka Ambiwa Kama Mjuzi Wayote Kama Anaweza Akaruhusu Yote Kwauwezo WakeHatayeye Mwenyewe Katwambia Kama Katupa Uhai Kama Kutuchallenge Kwamaana Anauwezo Wakufanya Kama Unavyotaka Kama Ambavyo Mwalimu Anauwezo Wakumpa Mwanafunzi Majibu Yamtihani Ila Hampi Ili Apate Kuwaona Mtapasi Vp Mtihani Wa Uhai Alowapa
Suala Lakuruhusu Mabaya Pia Niuwezo Wake Iliapate Kukupa Mtihani
Mungu Haoangiwi Ulitaka Aruhusu Mazuri Matupu Wkati Hataki Hivyo ?!...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa, hujajibu swali.
Pili, wanaosema Mungu yupo ndio wanaojiona wamekamilika, wana majibu ya kila kitu kwa kumjua Mungu. Mimi najua sijakamilika, ndiyo maana naeleza kutomuelewa kwangu huyo Mungu wenu.
Na bado hujanielewesha huyo Mungu wenu kashindwaje kuwanusuru watu wanaotimiza nguzo ya dini yake.
Unanisimanga na kuninyanyasa kwa kuuliza swali ambalo huwezi kujibu.
Kabla ya kuniambia ipo siku Mungu atajidhihirisha kwangu, kwanza thibitisha yupo.
Halafu nitajie siku hiyo ni tarehe ngapi, mwezi gani, mwaka gani, ili tuingoje, asipojidhihirisha turudi hapa kujadili zaidi.
Acha longolongo.
Thibitisha Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka Mungu wa kujitungia tu, ndiyo maana ukiweka tabia za Mungu huyo katika mizani ya fikra, anaonekana kikatuni cha kuchorwa na watu tu.Mara nyingi najikuta nawadharau maana hamuelewi hoja za Kiranga.
Hatukatai kwamba Mungu huyo ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu unaowezekanika kufanyika mabaya, tatizo ni pale Mungu huyo anapojisifu kuwa ana upendo kwa viumbe wake.
Sheria ya upendo ilipaswa imfunge asiumbe ulimwengu unaowezekanika kufanyika mabaya haya yaliyokuwepo, yaliyopo na yatakayokuja!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza thibitisha Mungu yupo.Kama umeweza kustaajabishwa na wana mazingaombwe wakubwa Duniani kama akina Chris Angel n.k kwa kufanya miujiza ambayo haina maelezo ambayo yana logic sijui unashindwaje kustaajabishwa na Ukuu wa MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakushindwa sema Kama , ww unataka kumpangia utaratibu unao uhitaji wwMungu alishindwa kufanya kuwa si lazima viumbe fulani wafe ili wengine waishi?
Kwa nini unasema mimi nataka kumpangia wakati nyie wenyewe mnaosema yupo mnasema sifa yake ni upendo?Hakushindwa sema Kama , ww unataka kumpangia utaratibu unao uhitaji ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo pia jibu lake ni rahisi, Mungu ninayemzungumzia mimi anajisifu kuwa ana upendo na pia ni mkali wa kuadhibu. Hakuna cha ajabu wala kikubwa ikiwa akili iko free. Mungu ambaye anapenda tu hata mabaya ana mashaka, Mungu aloleta sheria tuzifuate halafu tukidisobey iwe yuko vile vile anapenda tu itakuwa uwezo na uungu wake unamashaka!Mara nyingi najikuta nawadharau maana hamuelewi hoja za Kiranga.
Hatukatai kwamba Mungu huyo ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu unaowezekanika kufanyika mabaya, tatizo ni pale Mungu huyo anapojisifu kuwa ana upendo kwa viumbe wake.
Sheria ya upendo ilipaswa imfunge asiumbe ulimwengu unaowezekanika kufanyika mabaya haya yaliyokuwepo, yaliyopo na yatakayokuja!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema ndoto ndo uthibitisho wako nitakushangaa, si kwa kupinga ndoto, no! Nitashangaa kwa sababu unapinga hoja kubwa zaidi ya ndoto za uwepo wa Mungu!Huo utakuwa si mzuri.
Kwa sababu wewe unaweza usiukubali.
Una maana nikisema Mungu hayupo na uthibitisho wangu ni ndoto niliyoota jana usiku utaukubali huo uthibitisho?
Mimi sitaki uthibitisho nitakaoukubali mimi tu, nataka kujua viwango vyako vya kukubali uthibitisho ni vipi, ili tuvikubali wote, ili nisije kukupa uthibitisho ambao uko chini ya viwango.
Sasa nakuuliza tena.
Uthibitisho unaoutaka inabidi ukidhi vitu gani ili wewe uukubali kwamba huu ni uthibitisho murua unakubalika?
Mkuu hata mimi kuna muda huwa najiuliza kwa nini inakuwa hivi yaani baadhi ya vitu Mungu anashindwa kuzuia na uwezo anao.
Bado nasoma kile kitabu uliwahi weka hapa siku nyingi
'Philosophy of religion. An anthology'
Kwa kweli nimejifunza vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza thibitisha Mungu yupo.
Pili, thibitisha nimestaajabishwa na wanamazingaombwe.