Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Nandio Maana Uka Ambiwa Kama Mjuzi Wayote Kama Anaweza Akaruhusu Yote Kwauwezo Wake
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo, halafu ulumwengu unaoruhusu mabaya kuwepo, hilo ni contradiction.

Unaelewa hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatayeye Mwenyewe Katwambia Kama Katupa Uhai Kama Kutuchallenge Kwamaana Anauwezo Wakufanya Kama Unavyotaka Kama Ambavyo Mwalimu Anauwezo Wakumpa Mwanafunzi Majibu Yamtihani Ila Hampi Ili Apate Kuwaona Mtapasi Vp Mtihani Wa Uhai Alowapa

Suala Lakuruhusu Mabaya Pia Niuwezo Wake Iliapate Kukupa Mtihani

Mungu Haoangiwi Ulitaka Aruhusu Mazuri Matupu Wkati Hataki Hivyo ?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo, halafu ulumwengu unaoruhusu mabaya kuwepo, hilo ni contradiction.

Unaelewa hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuuliza Mjuzi Wayote Afanye Nini Nanini Asifanye Wakati Ushajua Kama Mjuzi Wayote

Kwaule Ujuzi Wake Wayote Tu Ndio Akakuletea Maradhi Ujue Kama Anaweza Lolote Mpaka Akaleta Maradhi

Halafu Kwakukuonesha Kwamba Bado Uwezo wakw Haujaishia Hapo Akakuponya Pia ilikukuonesha Kama Anaweza

Sasa Usitake watu wasiumwe tu ili kuuona au kuujua uweza wake Huyo MUNGU Nandio Maana Akasema Kutokana Na Maumivu Yoyote Yakuumwa Utakayoyapata Utakua Unapunguziwa Dhambi Kwa Uweza Wake Huyo MUNGU

Anaruhusu mabaya yawepo kwauweza wake na hajaishia hapo akaruhusu na mema kuwepo pia kwaajili ya uweza wake MUNGU Huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu namnukuu Kiranga kwa nini aruhusu majanga na uwezo wa kuzuia anao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwepo kwa majanga kuna sababu zake kadha wa kadha.

Miongoni mwa sababu hizo ni :

1. Kutupa mtihani ili aone ni kina nani watashukuru na kina nani watakufuru.
2. Ukumbusho wa kurudi kwake baada ya kukithiri kwa uovuna dhulma,yaani utokeaji wa majanga ni malipo kwa yale tinayo yafanya.
 
Unaweza KUTHIBITISHA KWAMBA YUPO NA SIO HADITHI TU?.

Kwani hadithi ni nini na kwani hadithi haziwezi kuwa ushahidi au ithibati ?

Hii kauli huwa naiona sana kwa wakana Mungu, ajabu ukiwauliza Hadithi ni nini, huwa hawajibu wanatokomea.
 
Kwa jinsi nature ya maisha ilivyo na dhambi zilivyo huwezi kuacha dhambi na kama kweli moto upo basi kila mtu mzima ataenda motoni.

Msome vizuri Kiranga amesema kwa nini Mungu aruhusu majanga, dhambi n.k wakati uwezo wa kuzuia anao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ushawahi kujiuliza kwanini kuna dhambi na kwanini kuna majanga na mfano wake ?

Ukijua sababu ajabu huondoka, sasa sisi huwa tuna angalia misingi, kisha matokeo. Kila unachokiona kinakuwepo kwa sababu.
 
'Maana' ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Maana ya maana ni kuruhusu kuingia yote yahusuyo tamko au kitendo husiko au hali husika na kuzuia kuingia yote yasiyo husika. Mfano, maana ya maji ni ile ambayo hairuhusu mwanya katika maana hiyo ukaelezewa kitu kingine kama vile maziwa, mkojo na mfano wake, hiyo ndio maana ya maana.
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Haulizi swali isipokuwa yule mjinga asie mjua Mola ni nani ? Huu ujinga wa kujadili mambo ambayo hamna elimu nayo huwa nauona humu.

Allah muweza wa yote kinyume chake ni muhali, na hili swali bali ni wasi wasi na ni swali la uongo.

Vipi aahindwe kuwanusuru watu wake wakati yeye ndio ametaka huo ugonjwa uwepo na uwadhuru ?
Hata wanaokwenda Hijja

Hata wanao muabudu sala tano, Allah alishaweka utaratibu wa kuwa anapo leta adhabu yake haibagui inawakuta waliodhulumu na wasio dhulumu, na hapa pia kuna sababu.

Anasema Allah aliye juu :

25. Na jikingeni na Fitna ambayo haitowasibu walio dhulumu peke yao kati yenu. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu. (al an Faal : 25 )

Kwahiyo huu ni utaratibu tu ambao ameshauweka, na haimaanishi ya kuwa kinyume chake hawezi kufanha, utaratibu huu ni kama ule wa jua kuchomoza mashariki na kuzama magharibi.

Anasema Allah aliye juu :

62. Hii ni ada ya Mwenyezi Mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita zamani. Wala hutapata mabadiliko katika ada ya Mwenyezi Mungu. (al Ahzaab : 62 )

Na hutakuta katika ada ya Allah ni yenye kubadilika.
 
Kirusi kidogo kakiketa mataifa yanayojitapa kwa teknolojia ya hali ya juu yanashindwa kukiona, wataalam wa afya wa dunia nzima wanashindwa kutibu! Vikosi vya usalama vya hali ya juu vinashindwa kuona au kufahamu vipi kirusi hichi kinajipenyeza katika mataifa yao! Majeshi yenue uzoefu na silaha za hali ya juu za kivita zinashindwa kupambana na kirusi hiki!
Hiki kirusi ni dalili tosha kwa wenye kufikiri kuwa Mungu mwenye nguvu na uwezo kuliko chochote yupo!
Adhabu yake inapokuja haichagui mwema wala mbaya, hayo ameshayaeleza zamani!
Pia hatuna uwezo wa kupambanu wema na wabaya, Yeye mwenyewe ndo anajua yaliyomo ndani ya nyoyo za watu, haijalishi ni imaam wa msikiti au padri, yeye ndo anamjua, sisi tunaona tabia za binaadamu alizoamua kuzionesha kwetu ila undani wake hatumjui.
Sikusudii mjadala ni ukumbusho tu na ushuhuda wangu[emoji120][emoji120][emoji120]
Kila mtu na aamini kile anachokipna ni sawa[emoji120][emoji120]
Kwa hiyo Mungu wako ana roho mbaya? Anapenda watu waymwe na wafe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nandio Maana Uka Ambiwa Kama Mjuzi Wayote Kama Anaweza Akaruhusu Yote Kwauwezo WakeHatayeye Mwenyewe Katwambia Kama Katupa Uhai Kama Kutuchallenge Kwamaana Anauwezo Wakufanya Kama Unavyotaka Kama Ambavyo Mwalimu Anauwezo Wakumpa Mwanafunzi Majibu Yamtihani Ila Hampi Ili Apate Kuwaona Mtapasi Vp Mtihani Wa Uhai Alowapa

Suala Lakuruhusu Mabaya Pia Niuwezo Wake Iliapate Kukupa Mtihani

Mungu Haoangiwi Ulitaka Aruhusu Mazuri Matupu Wkati Hataki Hivyo ?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba asiweze kulibeba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamuuliza Mjuzi Wayote Afanye Nini Nanini Asifanye Wakati Ushajua Kama Mjuzi Wayote

Kwaule Ujuzi Wake Wayote Tu Ndio Akakuletea Maradhi Ujue Kama Anaweza Lolote Mpaka Akaleta Maradhi

Halafu Kwakukuonesha Kwamba Bado Uwezo wakw Haujaishia Hapo Akakuponya Pia ilikukuonesha Kama Anaweza

Sasa Usitake watu wasiumwe tu ili kuuona au kuujua uweza wake Huyo MUNGU Nandio Maana Akasema Kutokana Na Maumivu Yoyote Yakuumwa Utakayoyapata Utakua Unapunguziwa Dhambi Kwa Uweza Wake Huyo MUNGU

Anaruhusu mabaya yawepo kwauweza wake na hajaishia hapo akaruhusu na mema kuwepo pia kwaajili ya uweza wake MUNGU Huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya ni contradiction.

Unaelewa hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema tu Mungu yupo na anathibitika kwa kutumia akili.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Sijakuuliza Mungu anathibitishika kivipi.

Nimekutaka uthibitishe Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa maana. Hilo ndiyo tatizo!

Umetaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu. Nikakuuliza kwanza ni nini maana ya kuthibitisha. Ukatolea ufafanuzi na hili ndiyo jawabu ulilolitoa:

"Kuonesha jambo kwa njia isiyoacha shaka yoyote."

Nikakujibu:
"Kwa mantiki hiyo, uthibitisho siyo objective kwamba kinatambulika na milango ya fahamu bali kinatambulika kwa akili.

Kuthibitisha Mungu yupo kunatambulika kwa akili ambayo inayobadili mazingira ya kuhusu jambo au kitu na kuyasafirisha kwenye udhahanifu unaokubalika na akili. Kwa hiyo, udhahanifu wa ithibati unafungamana na akili."
---------------------
Huko kote ni kufafanua ni nini maana ya kuthibitisha.

Kwa hiyo, ithibati ya uwepo wa Mungu ni ukitumia akili na kinyume chake ni vivyo hivyo.
 
Kwani mimi nimekutaka uthibitishe Mungu yupo bila kutumia akili?

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena!
Kuthibitisha uwepo wa Mungu ni suala dogo tu!

Nalo ni kutumia akili, siyo kutumia mi-notes uliyosoma. Tumia akili.
Sasa mimi nakwambia uthibitishe Mungu yupo, halafu wewe unanirudiahia kazi hiyo mimi?

Kwa kusema nitumie akili?

Hapo ndiyo unethibitisha Mungu yupo?

Akili ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Mungu wako ana roho mbaya? Anapenda watu waymwe na wafe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao unaowaita watu yeye ni mali yake, yeye ndo alowaanzisha, akiamua wafe ni hiari yake, akiwaacha hai ni hiari yake, hata huko kuumbwa hawakuomba waumbwe ni maamuzi yake tu kuwaumba. Sisi watu na viumbe vyengine hatuna miliki na control ya afya zetu, wala uhai wetu. Ndio maana huzaliwa bila ya kuomba tuzaliwe, tunaumwa tunapata matatizo na misiba wala hatupendi lkn ndo hatuna control.
Ikiwa kuumwa unatafsiri ni roho mbaya jee kuumbwa na kupewa neema zote tulizonazo utatafsiri nini? Pamoja na neema zote bado tunamkufuru na kumkataaa!!!!
 
Unajuaje hayo ni kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu?

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje hayo ni kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu?

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma maneno yake na sina shaka yoyote kuwa ni yake. Baada ya kuyasoma maandiko yake ndo utathibitisha kuwa Mungu yupo na hayo maandiko ni yake kweli hakuna binaadamu mwenye uwezo wa kutunga yaliyoelezwa ktk vitabu vyake.

Yeye ndo ameclaim kuwa ni muumbaji wa ulimwengu na vyote vilivyomo, hajatokea mwengine akasema kaumba yeye, Yeye ndo anaclaim kuwaumba binaadam na kuwafisha hajatokea mwengine kudai ni muumbaji wa bnaadamu. Yeye ametangaza kuwa analitoa jua mashariki kwenda magharibi amechallenge ikiwa kuna mwengine mwenye uwezo zaid yake alitoe magharibi alipeleke mashariki! Yeye ametangaza kuwa amezikutanisha bahari za maji ya chumvi na maji matamu wala maji yake hayachanganyiki zamani sana hata hazikujulikana zipo wapi saivi zinajulikana! Yeye analeta usiku na mchana kama yupo zaidi yake abadilishe hayo! Yeye amechallenge ikiwa mnadai maneno yake ni hadithi za kutunga na nyinyi mtunge mfano wake, hakuna binaadamu aliyeweza kutunga mfano wa maneno yake!
Ni mengi ambayo hakuna anayeweza kuyafanya wala aliyedai kuyafanya ila yeye Mungu wa kweli anejigamba wazi wazi kuwa ndo mfanyaji.
Kubwa zaidi halazimishi tumuabudu ametupa freedom ya kimaumbile inayotufanya tuwe na uwezo wa kukubali au kukataa maarisho yake, tukikubali ni kheri kwetu tukikataa ni hasara kwetu!

Vitu vyote tunavyotumia mf simu computet kalamu tunaamini vimetengenezwa havikuja vyenyewe , how come vitu vikibwa kama dunia na vya ajabu kama binaadamu iwe vimekuja wenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom