CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Wizara ya Afya nchini Tanzania imethibitisha kuwepo kwa mgonjwa mpya wa COVIDー19 jijini Dar es Salaam ambaye ni mwanaume (51), raia wa Tanzania.

Wizara inaendelea kuwafuatilia watu wote waliowahi kukutana na mgonjwa huyo. Ongezeko hilo linafanya visa vilivyoripotiwa kufika 25.

 
Ukweli unakuja, USA walianza hivi hivi kwa dharau... leo self quarantine ni pendo lao toka rohoni bila kulazimishwa!
 
Huyu alikuwa anafuatiliwa? Alikuwa karantini? Maeneo yake anayofanyia biashara ni wapi? Ana familia hapa hapa Dar? Anatumia usafiri gani mara kwa mara aendapo kwenye biashara zake? Mara ya mwisho alikuwa wapi? Lini? Alifikaje hapo? Alishaonyesha dalili akiwa uraiani?
 
Maswali magumu sana. Tutafika ambapo hatutapaweza kwa negligence tuliyo nayo
 
Hakuna Mungu wa kusikiliza sala kama hiyo huku mkiwa irresponsible, mkimpa Bashite kutawala masuala ya Corona. Sahau!
 
😂😂
Na haya ndo majibu ya watanzania!

Dah! Huyu hata ukimwambia tuuze nchi tugawane hela nafikiri yeye ndo atatafuta na mteja!! Naamini ndani ya saa moja atakuwa ameshapatikana na nchi itakuwa kibindoni tayari kwa mnada😂

Sasa hapo corona vipi?...no gloves no mask


WHO:Corona, test..test..test

M,gambo:What corona?
 
[emoji23][emoji23]
Na haya ndo majibu ya watanzania!

Dah! Huyu hata ukimwambia tuuze nchi tugawane hela nafikiri yeye ndo atatafuta na mteja!! Naamini ndani ya saa moja atakuwa ameshapatikana na nchi itakuwa kibindoni tayari kwa mnada[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…