CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

Kwani mipaka ya kuingia nchini imefungwa? Nikuulize swali, hivi Lisu mlimfanya nini na kosa lake ni lipi?
All in all huwezi kuwa rational, tuyaache...
Unasema Lisu tumemfanya Nini? Una maana sisi akina Nani na wewe au nyie akina Nani? Mipaka ya kuingia nchini imefungwa ndio...Kama Kenya imefunga mpaka ina maana na Tanzania nayo automatically imefunga mpaka..Haiwezekani Tanzania nayo itangaze eti tumefunga mpaka wakati tayari mwenzio ameshafunga mpaka huo? Kitu rational kwako kinaweza kuwa irrational kwa mwenzio
 
Back
Top Bottom