CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

Ukweli ni kwamba hatuna uwezo kuzuia kuenea maambukizi, ni kumtegemea Mungu pekee, tutumie hekima na maarifa ya asili kujenga immune na kinga.

Nazidi kushauri kamati kuu corona, waelekeze wenye viwanda na kufuta kodi juisi ya limao,tangawizi,kitunguu swaumu. Tupeane elimu na hamasa pia.
Screenshot_20200408-130335.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ule uzi ya kuwa hii corona ilishakuwepo bongo kama mafua tangia DEC2019 ni uzushi..


nilikuwa nimeanza ku-relax..ngoja nikasake hiyo chloroquine niweke akiba
 
Iiish
ndo nn hichi
jicheke bas!!
Kwani wewe umesha muuliza mama ako.akakupa majibu..mama ako atakuwa anaukalibu na waziri.

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Huyu alikuwa anafuatiliwa? Alikuwa karantini? Maeneo yake anayofanyia biashara ni wapi? Ana familia hapa hapa Dar? Anatumia usafiri gani mara kwa mara aendapo kwenye biashara zake? Mara ya mwisho alikuwa wapi? Lini? Alifikaje hapo? Alishaonyesha dalili akiwa uraiani?
Anayefuatiliwa usalama wa taifa ndiyo utatoa majibu.
 
Ukweli unakuja, USA walianza hivi hivi kwa dharau... leo self quarantine ni pendo lao toka rohoni bila kulazimishwa!
Squatter areas halafu unafanya lockdown/curfew? Vyumba vinane kwa bi shukuru wanaishi familia(wapangaji) nane.

Mpangaji bila kuuza vitumbua na maharage asubuhi awezi kulisha watoto wake watatu,unawaweka lockdown wanaishi vipi?

Leta solutions iwe ina relate na maisha ya kiafrika sio USA au nchi za magharibi.
 
Naambiwa hapa kuwa kesho ni "IJUMAA KUU" wakristo "watatia udhu" kwanza kisha kuingia kanisani kama waislam vile..!! Hii kolona we acha tu...!!
 
Mungu tuhurumie sisi waja wako hatuwezi kitu na wala hatujiwezi, tunajikabidhi kwako kabisa utuondolee huu ugonjwa na utuache tukiwa salama. Sisi bila wewe si kitu Mungu tunaomba ulinzi wako.
Ameen[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu gani huyo unayemwomba, ni yule anayemwabudu paskali?
Kama ni huyo sawa,
Maan Mungu aliye hai amekadirika kwakuwa sifa zake mmempa mungu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unakuja, USA walianza hivi hivi kwa dharau... leo self quarantine ni pendo lao toka rohoni bila kulazimishwa!
Baadhi ya Mahitaji ya self quarantine ni
1. Maji ya bomba na choo ndani ya nyumba
2. Sehemu ya kuhifadhua chakula (jokofu n.k)
3. Uwezo wa kununua chakula cha kuhufadhi
Ukiangalia mambo haya machache kama sehemu ya mahitaji muhumunya self quarantine utagundua watu wetu walio wengi hawawezi. Ni busara kutolazimisha jambo hili lisilowezekana kwetu
 
Baadhi ya Mahitaji ya self quarantine ni
1. Maji ya bomba na choo ndani ya nyumba
2. Sehemu ya kuhifadhua chakula (jokofu n.k)
3. Uwezo wa kununua chakula cha kuhufadhi
Ukiangalia mambo haya machache kama sehemu ya mahitaji muhumunya self quarantine utagundua watu wetu walio wengi hawawezi. Ni busara kutolazimisha jambo hili lisilowezekana kwetu
humu jf kuna watu ni mbumbumbu si kawaida.

hatari zaidi kama huwezi kutafakati unaweza kudhani huyo mtu ni bonge moja la kichwa.

sisi wengine tunaungana na mh rais,kuomba Mungu atunusuru,lipumbavu jingine linadhani ni ujinga tunafanya.us wali delay kwa ubishi na mapuuza,sisi tuna delay kwa kutokuwa na uwezo.mtu anafananisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanaona namba inapanda kidogo kidogo kwelii.
Na utabiri wao hautokei.[emoji2][emoji2].

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Back
Top Bottom