CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

CoronaVirus Tanzania: Mgonjwa mmoja apatikana Jijini Dar. Idadi ya Waathirika nchini yafikia 25

Mkuu hama tu nchi maana yamekushinda nasisi wengine yakitushinda tutahama tena tukichelewa tutakimbizana kama nyumbu😂
Majirani wamefunga mipaka kwa hiyo nimekuja kujificha huku bariadi
 
Kamati ya taifa corona itoe maelekezo viwanda vinywaji baridi watengeneze juisi hii limao,tangawizi,kitunguu swaumu na maji.Wafugwa na wanafunzi wagawiwe nasi mtaani tufanye upendo kupeana ofa .Selikali itoe kodi, ni kinga na tiba mfumo upumuaji tuendelee na maisha yetu. Huku tukimtumainia Mungu, tutumie maarifa yanayotekelezeka.View attachment 1412926

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mtu alikunywa juzi imemkata kata utumbo yuko Mloganzila mahututi
 
Janga tunalijua na tunalikabiri sasa wewe kila mara corona corona corona corona huna kingine cha kufanya? Kwani ulikuja duniani kukaa milele? Kama siku zako zimefika utakufa tu hata kwa ajali mkuu. Tulia chapakazi mkuu!
Ndio majibu yenu Wanalumumba, kwa hiyo mumeacha kusema corona ni Upinzani
 
Amosi : Mlango 4
13 Kwa maana, angalia, yeye aifanyizaye milima, na kuuumba upepo, na kumwambia mwanadamu mawazo yake, afanyaye asubuhi kuwa giza, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka; BWANA, Mungu wa majeshi, ndilo jina lake.
 
Janga tunalijua na tunalikabiri sasa wewe kila mara corona corona corona corona huna kingine cha kufanya? Kwani ulikuja duniani kukaa milele? Kama siku zako zimefika utakufa tu hata kwa ajali mkuu. Tulia chapakazi mkuu!
We jamaa ukijichunguza utagundua ni zero kichwani. Kwa unavyowaza ni kuwa watu wasitangaze kuhusu Corona! Jiangalie wewe.
 
We jamaa ukijichunguza utagundua ni zero kichwani. Kwa unavyowaza ni kuwa watu wasitangaze kuhusu Corona! Jiangalie wewe.
Wewe wasema kuwa Kweli mimi ni zero kichwani ila akili ninazo kibao!! Hahahaha...!
 
Wewe wasema kuwa Kweli mimi ni zero kichwani ila akili ninazo kibao!! Hahahaha...!
Ni kawaida ukiingia ccm akili unaambiwa uziache nyumbani poleni sana
 
Huyu alikuwa anafuatiliwa? Alikuwa karantini? Maeneo yake anayofanyia biashara ni wapi? Ana familia hapa hapa Dar? Anatumia usafiri gani mara kwa mara aendapo kwenye biashara zake? Mara ya mwisho alikuwa wapi? Lini? Alifikaje hapo? Alishaonyesha dalili akiwa uraiani?
Maswali yako yanaonyesha kama vile Watanzania tunachukulia suala la kuweka karantini watuhumiwa wa ugonjwa wa corona kuwa jukumu la serikali. Sivyo hivyo. Hatuna budi raia wote tulione hilo kuwa ni jukumu letu sote.

Ukihisi unaweza kuwa umeambukizwa, wewe mwenyewe ujitokeze na kujitenganisha na umma kwa siku 14, na ikibidi utafute msaada wa Wizara ya Afya kukamilisha hilo. Hivi ndivyo viongozi wa nchi zilizoendelea wamekuwa wakifanya.

Kwa Tanzania, Mheshimiwa Mbowe alifanya hivyo baada ya mtoto wake kutajwa kuwa ana ugonjwa huo. Sikubaliani na Mbowe kwa mambo mengi, lakini kwa hili namsifia bila kupepesa macho au kujiuma maneno. Siyo jambo la aibu kujitokeza kama una hisia hiyo. Hivyo ndivyo tutaweza kuthibiti ueneaji wa ugonjwa huu.

Mbali na kujitokeza mwenyewe, taja pia watu wote uliojumuika nao wakati wa uwezekano kuwa umeathirika. Tukifanya hivi nchi yetu itaepuka kuenea kwa ugonjwa wa corona. Tusilete ujuaji usio na maana au siasa katika hili.

Niongeze kwa kusema kwamba kama mtu akijulikana alitambua kuwa ameathirika na akajificha, huyu achukuliwe hatua kali sana, sawa na mtuhumiwa wa mauaji.
 
  • Thanks
Reactions: VSM
Wewe wasema kuwa Kweli mimi ni zero kichwani ila akili ninazo kibao!! Hahahaha...!
Mtu ambaye ni zero kichwani huwa hajijui. Unajua kwanini? Kwasababu hana hata akili ndogo ya kujifikiria pale anapoamua kitu! Hana uwezo wa kujisahihisha!
 
Kuna maswali yameulizwa na mdau JF baada ya press release ya mh. waziri leo 8/4/2020.

Nimeona nimaswali mazito wote tukatafakari

Huyu alikuwa anafuatiliwa? Alikuwa karantini? Maeneo yake anayofanyia biashara ni wapi? Ana familia hapa hapa Dar? Anatumia usafiri gani mara kwa mara aendapo kwenye biashara zake? Mara ya mwisho alikuwa wapi? Lini? Alifikaje hapo? Alishaonyesha dalili akiwa uraiani?

Nimeqoute haya maswali toka kwa. G Sam
 
Mtu ambaye ni zero kichwani huwa hajijui. Unajua kwanini? Kwasababu hana hata akili ndogo ya kujifikiria pale anapoamua kitu! Hana uwezo wa kujisahihisha!
Wewe utamjua mwenye akili kweli? Mtu anajieleza jinsi alivyo kwa matendo yake. Avatar yako tu inaonyesha mwelekeo wa akili zako.
 
Wewe utamjua mwenye akili kweli? Mtu anajieleza jinsi alivyo kwa matendo yake. Avatar yako tu inaonyesha mwelekeo wa akili zako.
Avatar yangu inaonyesha kuwa pamoja na kuwa ninao uwezo wa kumpa makonde mazito mazito huyo askari ila nimeamua kuheshimu cheo chake na kazi yake maana na yeye ameniheshimu kwa kiasi chake. Otherwise angechezea tu kipigo ili niilinde hadhi yangu vilevile!
 
Maswali magumu sana. Tutafika ambapo hatutapaweza kwa negligence tuliyo nayo
Kabisa kabisa, we are not serious indeed kwa hili. Sidhani kama tutakuwa na mwisho mzuri kwa hili. Mungu atusimamie kwa kweli.
 
Back
Top Bottom