Kwani wewe umesha muuliza mama ako.akakupa majibu..mama ako atakuwa anaukalibu na waziri.
Anayefuatiliwa usalama wa taifa ndiyo utatoa majibu.Huyu alikuwa anafuatiliwa? Alikuwa karantini? Maeneo yake anayofanyia biashara ni wapi? Ana familia hapa hapa Dar? Anatumia usafiri gani mara kwa mara aendapo kwenye biashara zake? Mara ya mwisho alikuwa wapi? Lini? Alifikaje hapo? Alishaonyesha dalili akiwa uraiani?
Kwa hiyo unataka kusema Nini?!? Sisi waTZ tumedharau pia??Ukweli unakuja, USA walianza hivi hivi kwa dharau... leo self quarantine ni pendo lao toka rohoni bila kulazimishwa!
Yes kwanini hamuweki karantini watu wasiingie nchini? ndio kudharau huko!Kwa hiyo unataka kusema Nini?!? Sisi waTZ tumedharau pia??
Squatter areas halafu unafanya lockdown/curfew? Vyumba vinane kwa bi shukuru wanaishi familia(wapangaji) nane.Ukweli unakuja, USA walianza hivi hivi kwa dharau... leo self quarantine ni pendo lao toka rohoni bila kulazimishwa!
Wameingia wapi?!Yes kwanini hamuweki karantini watu wasiingie nchini? ndio kudharau huko!
Mungu gani huyo unayemwomba, ni yule anayemwabudu paskali?Mungu tuhurumie sisi waja wako hatuwezi kitu na wala hatujiwezi, tunajikabidhi kwako kabisa utuondolee huu ugonjwa na utuache tukiwa salama. Sisi bila wewe si kitu Mungu tunaomba ulinzi wako.
Ameen[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mipaka ya kuingia nchini imefungwa? Nikuulize swali, hivi Lisu mlimfanya nini na kosa lake ni lipi?Wameingia wapi?!
Baadhi ya Mahitaji ya self quarantine niUkweli unakuja, USA walianza hivi hivi kwa dharau... leo self quarantine ni pendo lao toka rohoni bila kulazimishwa!
Jinga sana weweTutatia akili tu siku zijazo
humu jf kuna watu ni mbumbumbu si kawaida.Baadhi ya Mahitaji ya self quarantine ni
1. Maji ya bomba na choo ndani ya nyumba
2. Sehemu ya kuhifadhua chakula (jokofu n.k)
3. Uwezo wa kununua chakula cha kuhufadhi
Ukiangalia mambo haya machache kama sehemu ya mahitaji muhumunya self quarantine utagundua watu wetu walio wengi hawawezi. Ni busara kutolazimisha jambo hili lisilowezekana kwetu