Unasema Lisu tumemfanya Nini? Una maana sisi akina Nani na wewe au nyie akina Nani? Mipaka ya kuingia nchini imefungwa ndio...Kama Kenya imefunga mpaka ina maana na Tanzania nayo automatically imefunga mpaka..Haiwezekani Tanzania nayo itangaze eti tumefunga mpaka wakati tayari mwenzio ameshafunga mpaka huo? Kitu rational kwako kinaweza kuwa irrational kwa mwenzio