Ila wakuu hii inshu ni serious..
Watu wanachukulia poa hili janga. Trump kasema recession inakuja,US doesn't have enough stockpiled medical equipment,hotels bars restaurants closed, kama nchi kama US ina struggle Tz itakuwaje?Africa tofauti Mkuu na wanaona sawa tu ila uchumi duniani ndio huo unaporomoka
Hali ni ngumu huku Mkuu
Ukichukua off voluntarily unalipwa £29 kwa siku
Leo Kuna kampuni ya Simu Carphone warehouse wamefukuza wafanyakazi 3000
Ni msiba mkubwa huu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wale wa toto Wasio penda Shule hii Nikama kuokota dodo Kwenye moarobaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wazima ndiyo waathirika wakubwa wa coronaAfadhali aisee maana watu wazima kidogo wanaweza kujikinga ila watoto ni mtihani.
Hio ni developed country! Sisi je? Jamani tusifanye mchezo tutateketea
Kwani waziri mkuu ni wa mkoa au wilaya!!!!hii ni kwa nchi nzima au?
Okay good on youKama mimi nalalamika kwanini vyuo havijafungwa