Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Mbona amesema form six tu wakati na vidudu masaa yao ya masomo yamemegwa
 
Africa tofauti Mkuu na wanaona sawa tu ila uchumi duniani ndio huo unaporomoka
Hali ni ngumu huku Mkuu
Ukichukua off voluntarily unalipwa £29 kwa siku
Leo Kuna kampuni ya Simu Carphone warehouse wamefukuza wafanyakazi 3000
Ni msiba mkubwa huu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Watu wanachukulia poa hili janga. Trump kasema recession inakuja,US doesn't have enough stockpiled medical equipment,hotels bars restaurants closed, kama nchi kama US ina struggle Tz itakuwaje?
 
Vipi kuhusu vyuo vikuu?

Vipi kuhusu sehemu za walevi kama mabar?

Vipi kuhusu ma night club?

Makanisani je? + mikusanyiko ile akina Mwamposa?

Misikitini nako vipi?

Masokoni nako vipi jamani?

Kuhusu kufunga mipaka ya nchi kwasasa ilo sitauliza !!

Mungu tusaidie
 
Hatua nzuri,kasahau tu mikusanyiko ya ibada,,piga spana piga spana...
 
Nadhan kuwaleta wote mtaani bado haisaidii, wanafunzi walio Bweni wabaki huko huko hata likizo ya Pasaka wasirudi.
Zifunge shule za kutwa pekee
 
Kuhusu Hapana Ndyo Inalevo Siti,kuzidisha Abiria Ni Uzembe Ulokuzwa Na Trafic Tu
 
Back
Top Bottom