Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Ivi wanatoa maelezo gani kuhusu icho kipimo cha Airport kutoona maambukizi hadi kupimwa tena.Inamaana washapita wengi bila kugundulika kama alivyopita huyo mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, wakuu Waziri Mkuu Kassim majaliwa Katangaza kufungwa kwa shule kwa muda wa siku 30 HOFU ni kuepusha kusambaa kwa Corona

Pia tetesi mkoani Mbeya wamekutwa watu wawili mmoja Mchina na mwingine Mtanzania

Tuendelee kujikinga na kujuzana
 
Katika hili tusilete siasa huyu mgonjwa ni raia wa kigeni hivyo ni bora tusitishe safari na uingiaji wa raia wa kigeni kutoka mataifa yaliyokwisha athirika na Corona.
 
Vipi kuhusu hiyo likizo, haitaathiri ufanyaji wa mitihani ya kidato cha sita??


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umemsikiliza Waziri Mkuu?

Ratiba ya ufanyaji mitihani ya kidato cha sita itapangwa upya, hasa itasogezwa mbele ili wanafunzi wapate muda wa kujisomea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kama Watanzania wengi watakufa kwa hivi virusi vya Corona.

Hata yule mama aliyegundulika kuwa navyo Arusha atapona tu

Ni uoga tu na poor assumptions...!

Corona itapita soon kama yalivyopita magonjwa mengine ya mlipuko na chanjo itapatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona Serikali imechelewa kuchukua hatua,mimi nungependa huyu mdudu aanze na viongozi waandamizi wanaoshindwa hata kujenga kadaraja wanabaki kulaumiana
 
Fungeni Mipaka na Airport acheni Janjajanja Kucheza na Afya za Watanzania
 
Kwa nini kuna kigugumizi kwenye kufunga mipaka au kulazimisha 14 days isolation kwa yoyote anayeingia? Hivi ukifunga shule huku umeruhusu watu kuingia hovyo nchini kuna faida gani? Kwenye inshu ya Corona serikali imekuwa legevu sana.

Serikali iuvae ujasiri kuwa na mikakati kamili. Siyo hii nusu nusu.

1. Hakuna mikusanyiko
2. Funga mipaka
3. Wageni wanaoingia quarantine 14 days kabla ya kuingia.

Plain and clear like that.

Tunasubiri haya. Vinginevyo mnatupigia kelele tu.

Kama kwa LSK Kenya, na kama serikali hawa fanyi lolote tuwapeleke symbolically mahakamani hapo mahakama zimekuwa ni marefa wachezaji. Muhimu wakajua japo tulijaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…