Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Watanzania hawatakufa kwa Corona, bali njaa...
Subiri zuio la kwenda mjini....
 
Bars, restaurants na night clubs bado viko wazi Shule tu ndo zinafungwa?.😳

Itafikia pahala mikusanyiko yote itapigwa pini, kaeni mkao wa kula.
Bora mikusanyiko ipigwe ban, tu save pesa. Mana hata baba mwenye nyumba akinidai kodi, namwambia asubili kwanza korona ipite, mana aturuhusiwi kusogeleana.
 
Vita dhidi ya Chadema wako mstari wa mbele lakini kwenye Corona wanajivutavuta
Pamoja na mapungufu yaliyopo ili mimi kuna sehemu siwezi ilaumu serikali...Napitia forum nyingi za wakenya,waganda na hata za huko mbele ili kuona uhalisia wa hili tatizo... Kuna argument zinaletwa humu nasema dah...ila sababu ni maoni ya mtu inabidi niyaheshimu.
 
Serikali ifunge mipaka ya nchi.ibaki kwa mambo muhimu tu
 
Waangalie vituo vya mwendokasi na kwenye mabasi ya mwendokasi, mara nyingi utakuta kuna watu zaid ya 200 kituoni wanasubiria usafiri na basi likija linabeba zaid ya watu mia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na mapungufu yaliyopo ili mimi kuna sehemu siwezi ilaumu serikali...Napitia forum nyingi za wakenya,waganda na hata za huko mbele ili kuona uhalisia wa hili tatizo... Kuna argument zinaletwa humu nasema dah...ila sababu ni maoni ya mtu inabidi niyaheshimu.
Kama nguvu wanayiitolea Chadema wangeiwekeza kwenye Corona na Daraja la Kiyegeya leo tungekuwa mbali sana

Huu ni utawala wa bahati mbaya kwa Watanzania.
 
Watu wanachukulia poa hili janga. Trump kasema recession inakuja,US doesn't have enough stockpiled medical equipment,hotels bars restaurants closed, kama nchi kama US ina struggle Tz itakuwaje?

Nakuambia Mkuu hii ni kama kiyama
Yaani kila nchi inabeba mzigo wake
Europe kila nchi iko kivyake
Yale ya kuungana hakuna tena
Hali ni ngumu na itakuwa ngumu zaidi baada ya miezi kadhaa
Janga la dunia hili
Kama UK wanasema watu watakufa over quater of a million na hospital hazitahudumia tena watu

Mpaka sasa tumeambiwa ukiugua piga 111 tu upate ushauri usiende hospitali mpaka uwe mahututi na hii ni UK
Chakula kinaisha
France ukikutwa unazurura unapigwa faini
Dunia imesimama halafu watu wanaona poa tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hio ni developed country! Sisi je? Jamani tusifanye mchezo tutateketea

Ni hatari sana
Usafiri utasitishwa kabisa mda si mrefu
Maana leo wamesema kama hauna dharura usitoke nje ya nchi



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom