General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Watoto wajinga utakuta wanaombea korona iyendelee.Wale wa toto Wasio penda Shule hii Nikama kuokota dodo Kwenye moarobaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Una tenda ya kuwapeleka? Fungia tu hiyo bodaboda Fanya service hadi baada ya siku 30!Kwahiyo kesho hakuna kupeleka watoto shule?
Bora mikusanyiko ipigwe ban, tu save pesa. Mana hata baba mwenye nyumba akinidai kodi, namwambia asubili kwanza korona ipite, mana aturuhusiwi kusogeleana.Bars, restaurants na night clubs bado viko wazi Shule tu ndo zinafungwa?.😳
Itafikia pahala mikusanyiko yote itapigwa pini, kaeni mkao wa kula.
Ukifia huko unaenda mbinguni moja kwa moja! Wasifunge makanisa na misikiti.
Pamoja na mapungufu yaliyopo ili mimi kuna sehemu siwezi ilaumu serikali...Napitia forum nyingi za wakenya,waganda na hata za huko mbele ili kuona uhalisia wa hili tatizo... Kuna argument zinaletwa humu nasema dah...ila sababu ni maoni ya mtu inabidi niyaheshimu.Vita dhidi ya Chadema wako mstari wa mbele lakini kwenye Corona wanajivutavuta
Ndiyo wapo, wewe unaona ni ajabu?Bado kuna watu watalalamika tu
Umesikia shule gani ya boarding wana virus vya corona hapa Tz?SASA WA boarding wanaenda wapi?. Wakisafiri kutoka huko si watakuja kutusambazia kote nchini?. Wakae huko huko.
%6Ndiyo wapo, wewe unaona ni ajabu?
Aliyesema akili ni nywele.kila mtu ana zake aliona mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nguvu wanayiitolea Chadema wangeiwekeza kwenye Corona na Daraja la Kiyegeya leo tungekuwa mbali sanaPamoja na mapungufu yaliyopo ili mimi kuna sehemu siwezi ilaumu serikali...Napitia forum nyingi za wakenya,waganda na hata za huko mbele ili kuona uhalisia wa hili tatizo... Kuna argument zinaletwa humu nasema dah...ila sababu ni maoni ya mtu inabidi niyaheshimu.
Sio mwanao tu hata mm mwalimu wake nimeruka ruka,nikavune mahindi yangu hukoKuna mwanangu mmoja.
Kama namuona anavyoruka ruka huko boding.
Huyu ataombea korona iwe mwaka mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanachukulia poa hili janga. Trump kasema recession inakuja,US doesn't have enough stockpiled medical equipment,hotels bars restaurants closed, kama nchi kama US ina struggle Tz itakuwaje?
Akina gwaji boy na mwamposa watakufa njaaHatua nzuri,kasahau tu mikusanyiko ya ibada,,piga spana piga spana...
Hio ni developed country! Sisi je? Jamani tusifanye mchezo tutateketea
Sorry nilitaka kusema 3000.Aliyekwambia China wamekufa watu 6000 nani?