Mi nilizan Ni walimu + wanafunzi
labda kufagia na kudeki madarasa
Kwa walimu tunajua, hata shule zikifunga Mwl hafungi, na hata akitaka kutoka nje ya kituo cha kazi lazima aombe ruhusaNimekuta hii meseji group moja la WhatsApp
Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.
HUYU HEADMASTER MNOKO SANA HATAKI WALIMU WAKE WAKALE BATA...AFRICA NI BARA LA GIZA WATU WANA ROHO MBAYA SANA. YAANI MAAFISA ELIMU WATAWATESA WAALIMU KILA SIKU KURIPOTI SHULENI...sh.th.le country in trump's voice!Nimekuta hii meseji group moja la WhatsApp
Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.
Nadhani tunaposema SHULE tunawaangalia walimu, wafanyakazi wasio walimu na wanafunzi. PM amesema shule (kuanzia awali hadi kidato cha sita) zimefungwa. Maana yake jumuiya nzima ya shule imefungwa na kwa agizo hilo mtu akionekana shuleni ni kukiuka amri halali ya serikali na anastahili kutupwa ndani. Naamini DCs, RCs na RPCs wamesikia na watachukua hatua stahiki kuhakikisha agizo la serikali linatekelezwa.Nimekuta hii meseji group moja la WhatsApp
Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.
Umesikia shule gani ya boarding wana virus vya corona hapa Tz?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
??. Umewapima wote?. Nini maana yako?.
Wakisafiri njiani hawapati?.
teh tehhhhWale wa toto Wasio penda Shule hii Nikama kuokota dodo Kwenye moarobaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa, sijui umewaza nini!Mara paaap..! Wanasayansi watoa tamko kuwa Corona, inatibiwa kwa mkojo wa mdada bikra mwenye umri wa miaka 22.Mamaweeeh...Watanzania tutakufa kama nzige.
Povu la nini mzee? Nimesema nadhani, kwa kuwa si mimi niliyetoa tamko...Yap na advance pia wao huwa hawajitambui? Kwa hiyo ina maaana ukinchukua mtoto wako aliyemaliz form 4 akaamua aende chuo badala ya advance anakuwa tayari amejitambua? Anakuwa anajitambua kuliko yule wa advance? [emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app