Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Tangazo lipo very clear, linahusu shule za awali, msingi na sekondari. Haya mambo mengine ya mtumishi kuwa kaxini cjui mwalimu huyu atatekeleza jukumu lipi Kama mteja wake mwanafunz hayupo. Tusiwe wagumu kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mi naomba tu haya yawe mafua ya kawaida kwa Mtanzania maanake hali si shwari kabisa.
 
Nimekuta hii meseji group moja la WhatsApp

Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.
Kwa walimu tunajua, hata shule zikifunga Mwl hafungi, na hata akitaka kutoka nje ya kituo cha kazi lazima aombe ruhusa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuta hii meseji group moja la WhatsApp

Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.
HUYU HEADMASTER MNOKO SANA HATAKI WALIMU WAKE WAKALE BATA...AFRICA NI BARA LA GIZA WATU WANA ROHO MBAYA SANA. YAANI MAAFISA ELIMU WATAWATESA WAALIMU KILA SIKU KURIPOTI SHULENI...sh.th.le country in trump's voice!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuta hii meseji group moja la WhatsApp

Salaam,
Napenda kuwakumbusha tangazo la serikali kuhusu kufunga shule. Ni kwamba shule imefungwa ila watumishi tutaendelea kuwepo kazini, huku tukichukuwa tahadhari kubwa ikiwemo kutoshikana mikono wala kukumbatiana.
Nadhani tunaposema SHULE tunawaangalia walimu, wafanyakazi wasio walimu na wanafunzi. PM amesema shule (kuanzia awali hadi kidato cha sita) zimefungwa. Maana yake jumuiya nzima ya shule imefungwa na kwa agizo hilo mtu akionekana shuleni ni kukiuka amri halali ya serikali na anastahili kutupwa ndani. Naamini DCs, RCs na RPCs wamesikia na watachukua hatua stahiki kuhakikisha agizo la serikali linatekelezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado tuna manabii na mitume uhange wanaoendelea kuhubiri uponyaji wa Corona kwa kutumia upako na keki.Wanatuzingua kwa kusema imetokana na shetani na majini. Serikali inayajua haya? Au ndo huo uhuru wa kuabudu na kupotosha wananchi?

Halafu kuna nchi ambazo zimefunga mipaka yao na imepiga marufuku mikusanyiko yote, hata ya misikiti na makanisa. Sisi je?
 
Mara paaap..! Wanasayansi watoa tamko kuwa Corona, inatibiwa kwa mkojo wa mdada bikra mwenye umri wa miaka 22.Mamaweeeh...Watanzania tutakufa kama nzige.
 
Mara paaap..! Wanasayansi watoa tamko kuwa Corona, inatibiwa kwa mkojo wa mdada bikra mwenye umri wa miaka 22.Mamaweeeh...Watanzania tutakufa kama nzige.
Wewe jamaa, sijui umewaza nini!
 
Yap na advance pia wao huwa hawajitambui? Kwa hiyo ina maaana ukinchukua mtoto wako aliyemaliz form 4 akaamua aende chuo badala ya advance anakuwa tayari amejitambua? Anakuwa anajitambua kuliko yule wa advance? [emoji52]

Sent using Jamii Forums mobile app
Povu la nini mzee? Nimesema nadhani, kwa kuwa si mimi niliyetoa tamko...
 
Back
Top Bottom