Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Hongera serikali kwa kuchukua dhidi ya ugonjwa ili hatari, lakini hii hatoshi kuzuia kuenea zaidi kwa ngojwa hili hatari kama tukiendelea kupokea wageni toka nje, ni vyema kufunga mipaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo wazazi tuliokuwa tunadaiwa ada tu nasema afadhali tupumue Kaz kwa wamiliki washule walivyokuwa wanasubir tumalizie ada kabla ya mid term.

Kaz imebaki kwenye nyumba za kupanga Sasa naomba serikali itoe tamko hakuna kutoka wala kusafiri ili tupate sababu ya kuendelea kuishi mpaka tutakapopata pesa zao
 
Dah afadhali ila bado moja la kufunga mipaka japo bidhaa zitapanda ila za ndani muhimu zitatosha
 
Back
Top Bottom