Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

Pinga pinga kazini!
 
Dah aise watu hamna shukrani kabisa! Kabla ya shule kufungwa kulipigwa kelele kweli kweli! Zilivyofungwa shule za awali na secondary mkahoji vipi vyuo? Leo hii inaletwa hii hoja? Sijui mnataka jema lipi?
Kwani umemzuia mwanao asiende kwenye nyumba za ibada ukaulizwa na mtu kwamba kwann unamzuia mwanao asiende kuabudu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kumsahau kale kazee ka kipara
In God we Trust
 
Hoja yako sio pesa bali useme serikali aijakazia kuhusu makanisa ila tusiwe wajinga 2jiongeze 2shende kanisani sio kila kitu tungoje matamko. shule kufungwa ilikuwa sahihi mtoto wa mtu angefia hospital ungekuwa uzembe wa serikali
Kuna watu wamejaa chuki sasa wanajitahidi kutafuta kil sababu.
Si ajabu ht mipaka ikifungwa kuna watu watalalamika pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wachungaji wanao kusanya mamilioni kila wiki kwenye ibada zao, hivyo hii habari ya kufunga mikusanyiko kwenye nyumba za ibada watalaani sana.
In God we Trust
 
Mzee una nongwa sana. Kanisani au misikitini na mikusanyiko mingine hulazimishwi.
 
As a president, you need to be very careful in you deeds and words. Lazima use careful na matamshi yako mdomoni. Pope amesema watu wakae nyumbani na kama kuungama kwa ajili ya pasaka waungame vyumbani mwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
So kenyata , Trump na Marais wengine wanaongoza ibada za kitaifa ni wajinga .
Siyo lazima uwongee imani ni mtu binafsi si lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahofia wakirudi kutakuwa na mlipuko mkubwa sana
Jr[emoji769]
 
Jamani eeehh!tuacheni tule shushu jamani!!!wazazi wiki tu mshachoka kukaa na watoto wenu kaahh!mkae nao muwalee muwajue vzr tabia zao![emoji3][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi watu wakati mwingine huwa mnawaza kutumia makagari,nani alikuambieni kuwa mtoto akiwa shule ndo hapati mimba? Vipi rikizo ya mwezi wa 12.04.06. Na 09 penyewe mimba huwa zipo ama hazipo? Punguzeni ujuaji ninyi watu,smartphone zina waharibuni sana, kuanzia January hadi kipindi hili cha corona pamelipotiwa mimba 07 kituoni kwangu,Je ilikuwa kipindi cha likizo?
Everything happen for reason / Expect more Pregnancy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japan wanafungua shule zote wiki moja baada ya kuzifunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…