johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pinga pinga kazini!Nasema hivyo maana kama in kuzuia mikusanyiko, mbona watoto hao hao sasa wanakutana makanisani na.misikitini? It is rubbish kufunga shule ukaruhusu wanafunzi hao hao wakutane makanisani na unabariki kuwa yesu ataunguza corona.
Wa kumlaumu ni Kikwete, haya yasingelitupata
Sent using Jamii Forums mobile app