raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Wanafunzi watakuwa wanaangalia xxx mpk definition watazisahau sisi bado huko
Bars, restaurants na night clubs bado viko wazi Shule tu ndo zinafungwa?.[emoji15]
Itafikia pahala mikusanyiko yote itapigwa pini, kaeni mkao wa kula.
Kama mimi nalalamika kwanini vyuo havijafungwaBado kuna watu watalalamika tu
Kuna hoja zinafaa zitekelezwe kabla ya tukio na zingine baada ya case kuwepo nchini.... Kabla ya corona kuingia kinachotakiwa kufanyika ni labda kuzuia safari au sivyo kuandaa karantini... Lakini huwezi kufunga shule na vyuo kabla tatizo halijaingia nchini kaka...kuilaumu serikali kisa haijafunga taasisi za elimu kabla mdudu kutua ni kuionea.
Ila sasa makele ya hapo nyumbani unaweza tamani ardhi ikifunike. Kama mimi hapa najiandaa kisaikolojiaNdiyo Mkuu.... na wazazi tushaongezewa ratiba ya kesho kuwafata watoto wetu walio boarding....
Nje hakuna usalama.dah afadhali siku30 watatusaidia kwa shughuli za shamba
Hilo ni kweli. Hata hivi sasa serikali bado inakuwa reactive instead of being proactive. Given the fact hili suala limefahamika well in advance na tv etc wanazo. Nadhani serikali inaenda taratibu kwasababu wanafahamu janga litakaloukumba uchumi wetu kutokana na hatua hizo mfano Total lockdown.
Na tunapoelekea hilo halikwepeki, kwahiyo waliokuwa wakilalamika vyuma vimekaza, wajindae maana vinaenda kupata kutu kabisa.
Likizo ilishaisha mkuuVyuo vingi, hasa vya serikali tayari viko likizo ya kumaliza semester 1! Labda ndiyo sababu waziri mkuu hajavigusia
Sent using Jamii Forums mobile app
Uganda maskini wenzetu wanalazimisha yoyote anayetaka kuingia atakaa siku 14 isolation, hutaki rudi ulipotoka, kwa nini sisi tuwe na kigugumizi, kwa nini tusijikinge ugonjwa kuingia ila tunajiandaa kupambana nao mtaani ambayo ni vitu ngumu Zaidi.Umasikini ni mbaya sana!