chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
[emoji28][emoji28] wale ni wapagani mkuu,hawawezi kutuelewa hata tuimbe mapambio,watatuliza tu bwana wenu ni Nani[emoji23][emoji23][emoji23].Ubalozi wapewe ushuhuda wa matendo ya Bwana, tumeuona mkono wake.
Aaaa wapiiii. Unalijua jiwe kuu wewe.Tanzania Kwisha kazi !
mmeishanibambika jina jipya !Anasema Bw. Ntibayonkiza Ndabona
Weka picha tuwaoneHivi wale watalii wanao shuka Zanzibar na Kia wanatoka bara lipi?.
awamu hii tumewazidi akili wadhungu,walipanga kutuhujumu,sasa ss tumewahuju pakubwa ndio maana Wana[emoji51][emoji51][emoji51].hawaamini wazungu kuzidiwa keteTanzania ni nchi inayohujumu jitihada za dunia kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Hiyo ni ngumu, mbona mwanzo bado waliendelea kuja. Sio wazungu wote ni manyumbu mkuu.Utalii uko hatarini kuanguka kabisa nchi hii.
Ni watalii waliodata tu ndiyo watakuja kututembelea kwa hali hii tuliyonayo - Yaani unatangaza utalii wakati hufuati kanuni za afya za kujikinga & kupima na hili janga la Dunia.Utalii uko hatarini kuanguka kabisa nchi hii.
Shangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Hapana ila kwa sababu ya ubishi na kejeli zenu hatuna budi kushangilia. Ninyi mna bunduki na risasi sisi mikono mitupu. Kwanini tusishangilie mnapokutana na wenye nguvu kuliko ninyi??Shangilieni sasa bavicha, huwa mnapenda na kuiombea mabaya nchi kana kwamba nyie ni mna kinga na matatizo hayo
Hakuna.Mwana wa kulitafuta mwana wa kulugeti. Inaelekea hakuna mtanzania atakanyaga ulaya na marekani
Huna akiliwajinga kweli Hawa,kwani lazima kwenda kwao!!!???,Kila mtu apambane na Hali yake.