CoronaVirus: Vipimo vya mara ya pili ya RC Mghwira vyaonesha hana maambukizi ya COVID19

Kapimiwa wapi na lini? Maabara si inafanyiwa marekebisho?

 
Mimi siamini kama huyo mama alikuwa na corona ni kweli kuna tatizo kwenye vipimo
Asije akadanganya watu watumie mizizi halafu wapukutike
 
Hayo majani kasema yanaitwaje
 
Mimi ndugu yangu alipiga "cha Arusha",baadaye akakutwa negative!Wizara ya Afya jaribu kitu cha Arusha na mkikuta ni kweli mnicheki!
 
Nimeguswa, naunga mkono hoja.
P
 
Ikingili ni dawa toka zamani sana ya kifua tulikuwa tunakata vijiti tunaweka kwenye majivu alafu tunakuja vila magome kama unakula gomba au kwa watoto tulikuwa tubachuma majani then tunapaka kwenye mua uliomenywa tunampa ale kifua lazima Kipone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…