NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
kwa nini lakini ametaja hadharani vijana wa bavicha wataenda kuichoma ipotee tukose dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale.
Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake kwa kichanga unavyoitwa, na akasema ni mchungu, na hiyo mimea iko mingi Moshi, na akapima mara nyingine amekutwa negative, yaani hana maambukizi, nimepata matumaini sana sana kuisikia hilo. Yaani furaha imenijaa.
Ningeomba serikali yangu sikivu, ifuatilie kwa ukaribu sana mmea huo tena kwa speed kubwa sana, Mungu tusaidie. Mama Anna atusaidie tuujue vema huo mmea.
Mungu mbariki Mh. Rais wetu, John Pombe Magufuli, Mungu ibariki Tanzania.
Ku test positive na negative ni kwa kutumia test kits, ziko kibao, kila mkoa na mipakani.Paskall tusaidieni ametumia maabara gani kujua ana negative wakati maabara yetu ipo kwenye uchunguzi na bado haujatoka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo hayo majani ya kumwagaHabari watanzania wote, upendo na amani vitawale.
Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake kwa kichanga unavyoitwa, na akasema ni mchungu, na hiyo mimea iko mingi Moshi, na akapima mara nyingine amekutwa negative, yaani hana maambukizi, nimepata matumaini sana sana kuisikia hilo. Yaani furaha imenijaa.
Ningeomba serikali yangu sikivu, ifuatilie kwa ukaribu sana mmea huo tena kwa speed kubwa sana, Mungu tusaidie. Mama Anna atusaidie tuujue vema huo mmea.
Mungu mbariki Mh. Rais wetu, John Pombe Magufuli, Mungu ibariki Tanzania.
Bado lipo lipo sana!Hili dubwana litapita lini lituache tuendelee na mambo mengine?
Unapatikana mitaa gani hapa Bongo!??
Kapimwa lini kujua kama amepona,
Maana bado maabara inafanyiwa ukarabati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale.
Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake kwa kichanga unavyoitwa, na akasema ni mchungu, na hiyo mimea iko mingi Moshi, na akapima mara nyingine amekutwa negative, yaani hana maambukizi, nimepata matumaini sana sana kuisikia hilo. Yaani furaha imenijaa.
Ningeomba serikali yangu sikivu, ifuatilie kwa ukaribu sana mmea huo tena kwa speed kubwa sana, Mungu tusaidie. Mama Anna atusaidie tuujue vema huo mmea.
Mungu mbariki Mh. Rais wetu, John Pombe Magufuli, Mungu ibariki Tanzania.
Wewe utakuwa mtu wa mwisho kusadikiMimi siamini kama huyo mama alikuwa na corona ni kweli kuna tatizo kwenye vipimo
Asije akadanganya watu watumie mizizi halafu wapukutike
Aisee....
Serikali ikudaidie kutafuta majani?Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale.
Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake kwa kichanga unavyoitwa, na akasema ni mchungu, na hiyo mimea iko mingi Moshi, na akapima mara nyingine amekutwa negative, yaani hana maambukizi, nimepata matumaini sana sana kuisikia hilo. Yaani furaha imenijaa.
Ningeomba serikali yangu sikivu, ifuatilie kwa ukaribu sana mmea huo tena kwa speed kubwa sana, Mungu tusaidie. Mama Anna atusaidie tuujue vema huo mmea.
Mungu mbariki Mh. Rais wetu, John Pombe Magufuli, Mungu ibariki Tanzania.
Hivi ndo haya majani ambayo ni chakula cha Sungura!!?? Ni machungu balaa...