CoronaVirus: Vipimo vya mara ya pili ya RC Mghwira vyaonesha hana maambukizi ya COVID19

Hivi WHO inaanzia hapa JF nini!!!
Maana si Kwa kukanusha huko aisee
WHO wanapenda Africa iharibikiwe zaidi, naona wanaungwa mkono na wajinga wachache hapa wakitamani maafa yawe makubwa zaidi na wanatamani watu wasipone, wanatamani vifo view vingi zaidi, mashetwani hawa, na shetwani siku zote ni wa kushindwa, hatakaa aweze kumpinga Muumba
 
Watu maarufu wanatumwa ili kutangaza kuwa huu ugonjwa unaponaaa au? Alianza mwana fa kaja Pierre Sasa mgwira. Unamuua Nani sasaaa?
 
Ni habari njema RC Kilimanjaro kuthibitika kupona COVID19 baada vipimo vya mwisho.

Swali linakuja, amepimwa na mashine ipi? Ni Ile ya Dar-es-salaam au mpya ya Zanzibar?

Na kama ya Dar-es-salaam basi imekuwa tayari kwa matumizi ni wakati sasa kuelekeza nguvu kubwa katika upimaji wa wananchi na kuendelea kutoa takwimu.
 
Mbona Kuna mashine tatu ziliuja wiki ilio Isha au hamkumsikia pia hamkuambiwa kua mashine hazipo au hazifai Ila zilikua zinafanyiwa marekebisho
Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amepona ugonjwa wa #COVID19 aliothibitika kuwa nao mnamo Aprili 29, 2020

Imeelezwa kuwa majibu ya vipimo vya mara ya pili alivyofanyiwa Dkt. Mghwira yanaonesha hana maambukizi ya ugonjwa huo (negetive)

Pia soma > RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19 - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapimia maabara ipi na lini? Maabara ya Taifa tuliambiwa inafanyiwa marekebisho na ni more than 2 weeks since the last update. Huyu kapimwa wapi na lini?

Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amepona ugonjwa wa #COVID19 aliothibitika kuwa nao mnamo Aprili 29, 2020

Imeelezwa kuwa majibu ya vipimo vya mara ya pili alivyofanyiwa Dkt. Mghwira yanaonesha hana maambukizi ya ugonjwa huo (negetive)

Pia soma > RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19 - JamiiForums

Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amepona ugonjwa wa #COVID19 aliothibitika kuwa nao mnamo Aprili 29, 2020

Imeelezwa kuwa majibu ya vipimo vya mara ya pili alivyofanyiwa Dkt. Mghwira yanaonesha hana maambukizi ya ugonjwa huo (negetive)

Pia soma > RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19 - JamiiForums

Siwezi kuamini vipimo hivyo kwani hata kware ndege alionyesha positive.Toeni majibu ya utafiti wa mashine za kupima covid 19 kwanza kabla ya watu kusema wako negative,vinginevyo mnawachanganya wananchi.pili je Kama ni negative huyu mama je anaweza kuambukizwa Tena corona?
 
Back
Top Bottom