CoronaVirus: Vipimo vya mara ya pili ya RC Mghwira vyaonesha hana maambukizi ya COVID19

Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale.

Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake kwa kichanga unavyoitwa, na akasema ni mchungu, na hiyo mimea iko mingi Moshi, na akapima mara nyingine amekutwa negative, yaani hana maambukizi, nimepata matumaini sana sana kuisikia hilo. Yaani furaha imenijaa.

Ningeomba serikali yangu sikivu, ifuatilie kwa ukaribu sana mmea huo tena kwa speed kubwa sana, Mungu tusaidie. Mama Anna atusaidie tuujue vema huo mmea.

Mungu mbariki Mh. Rais wetu, John Pombe Magufuli, Mungu ibariki Tanzania.
Sasa ww mpuuzi unasema Mungu ambariki magufuli Kwan magufuli ndo kamponya hv mbona mnakua wajinga hv utajipendekezaje kwa mwanaume mwenzio hv
 
Iko mingi huku inatibu magonjwa mengi tu
IMG_20200516_072727_390.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari watanzania wote, upendo na amani vitawale.

Usiku saa 2, taarifa ya habari ya Azam TV, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kasema yeye alikuwa na maambukizi ya Corona baada ya kupima, na alianza kutumia majani ya mmea ambao ni ule wa Madagascar wanautumia, alikuwa anatafuna na akataja jina lake kwa kichanga unavyoitwa, na akasema ni mchungu, na hiyo mimea iko mingi Moshi, na akapima mara nyingine amekutwa negative, yaani hana maambukizi, nimepata matumaini sana sana kusikia hilo. Yaani furaha imenijaa.

Ningeomba serikali yangu sikivu, ifuatilie kwa ukaribu sana mmea huo tena kwa speed kubwa sana, Mungu tusaidie. Mama Anna atusaidie tuujue vema huo mmea.

Mungu mbariki Mh. Rais wetu, John Pombe Magufuli, Mungu ibariki Tanzania.
Vipimo si wamesema si vizuri
 
Muujuwe wewe na nani wakati kila siku unaelezwa humu na hata Kigwangala alishaupost? unautwa umuruvumba jaribu kugoogle uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapimwa Kenya? Kwa sababu hapa TZ maanara inafanyiwa uchunguzi na ndio maana hata taarifa hazitolewi
 
Huu mmea nimeweka Sana kwenye supu ya mbuzi

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Back
Top Bottom