Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,351
Reaction score
2,255
Naomba wale wenye uelewa tujadili. When time (t) was t=0, and space and matter were not existing, hiyo singularity point ilitokea wapi mpaka kuleta Big Bang iliyoumba ulimwengu? Is it just a mathematical way of explaining things that have baffled human minds? Will our minds ever grasp the mystery behind what we call "existence"?
 
Singularity haikutokea popote , yenyewe ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na muda na nafasi, hivyo bila singularity hakukua na mahali wa muda .

Kwa hiyo kuuliza ilitokea wapi maana yake hakuta kuwa na maana kwa sababu nadharia imekataa uwepo wa mahali na muda kabla ya singularity.
 
Naona kama kuna kitu cha maana ulichoongea. Ila bado mjadala uendelee kwa michango yako na wengine. Thanks. I appreciate
 
Singularity haikutokea popote , yenyewe ndio chanzo cha kila kitu ikiwemo na muda na nafasi, hivyo bila singularity hakukua na mahali wa muda .

Kwa hiyo kuuliza ilitokea wapi maana yake hakuta kuwa na maana kwa sababu nadharia imekataa uwepo wa mahali na muda kabla ya singularity.
Lakini ndani ya singularity palikuwa na condensed matter. Tukubaliane kwenye hili au unisahihishe.
 
Let's us take it that way. Where did energy come from. I don't want to use terms like eternal or some misleading terms.
Sifa za energy inaonyesha haiwezi kuumbwa wala kuharibika , inachofanya ni kubadilika umbile tu ,mfano binadamu ni matokeo ya sperms na yai , sperms na yai ni matokeo ya nishati inayopatikana kwenye mimea na wanyama , na pia mtu akifa anageuka nishati inayorudi kwenye mimea na wanyama pia.
 
Haiwezi kuumbwa kwa hiyo ilijiumba. That still doesn't answer the question
 
Ukiuliza hivyo je hiyo iliyoumba iliumbwa na nani?
Hapo ndipo kwenye swali la msingi. Asante. Kama wanafizikia wote wamefikia kwenye cosmic singularity basi tujadili na hiyo condensed matter au energy imetoka wapi. Tusije kuwa tuna elimu za kwenye makaratasi tu (B.Sc M.Sc,PhD,Postdoctoral.........) lakini we still can not answer these fundamental questions.
 
Ukiuliza imetoka wapi? Ukipata jibu ,utaulizia pia hilo jibu kuwa imetoka wapi to infinity, ila kwa binafsi yangu naona kila kitu kipo kwenye cycle tu🤔
 
Back
Top Bottom